Na vipi kama wameamua tena kutokupata hayo mapato mengi!!!Unaposema KMC hakuwa na sababu zenye mashiko za kuhama uwanja kisa tu ana uwanja wake Dar, unamaanisha nini? Uwanja wa KMC na ule wa Ali Hassan Mwinyi unalingana kwa ukubwa?
Vipi ikitokea kwamba walifanya hivyo ili kupata fedha nyingi kupitia idadi kubwa ya mashabiki watakao jitokeza kutazama huo mchezo?
Kama kanuni namba 9.6 imefuatwa hakuna shida.Kmc nadhani waliulizwa kiasi wanachotarajia kupata wakicheza tabora wakataja
Simba wame clear kiasi chote na kuwaachia mapato Yao.
Penalty fc kwa Sasa wamedhamiria kuua ligi ya nbc
Kwahiyo Simba ipo fainal Confederation kwasababu ya uongozi mbaya wa TFF?hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
udhaifu wa timu za shirikishoKwahiyo Simba ipo fainal Confederation kwasababu ya uongozi mbaya wa TFF?
Kwahiyo timu za shirikisho zote dhaifu kasoro Berkane? Hili tungependa muweke wazi mapemaudhaifu wa timu za shirikisho
Yaani ukimbie nyumbani kwako kisa umepewa hela na jirani.Kmc nadhani waliulizwa kiasi wanachotarajia kupata wakicheza tabora wakataja
Simba wame clear kiasi chote na kuwaachia mapato Yao.
Penalty fc kwa Sasa wamedhamiria kuua ligi ya nbc
Berkane Kwa Sasa sio dhahifu, na ni bingwa wa Morroco, Simba hachomoi, hakuna tatu malongo Wala kkepha Kayombo kuleKwahiyo timu za shirikisho zote dhaifu kasoro Berkane? Hili tungependa muweke wazi mapema
Kwahiyo hao wakina Malogo ndio wamemfikisha simba fainali?Berkane Kwa Sasa sio dhahifu, na ni bingwa wa Morroco, Simba hachomoi, hakuna tatu malongo Wala kkepha Kayombo kule
Wewe aliyekufunga fainali 2022 alikuwa bingwa wa nchi gani?Berkane Kwa Sasa sio dhahifu, na ni bingwa wa Morroco, Simba hachomoi, hakuna tatu malongo Wala kkepha Kayombo kule
KMC kwani uwanja wao wa nyumbani si ndio huo mkuu.Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
jumamosi ndo utajua kweli mlikutana na timu dhaifuKwahiyo timu za shirikisho zote dhaifu kasoro Berkane? Hili tungependa muweke wazi mapema
Waliopanga kwenda kucheza Tabora ni KMC. Walioajirisha na kurudi kucheza Dar ni KMC. Tatizo ni nini hapo? Kumbuka sisi Simba huwa hatuongei. Ni kimya tu, lakini wanaolalamika ni wale jamaa washindwa wa kila kesi!!!Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Hebu acha kupotosha huo msimu yanga alikuwa bingwa wa michuano gani, simba amechukua ubingwa misimu minne mfululizo kuanzia 2018 mpaka 2021, sasa wewe ni ubingwa gani unaoongelea ambao huo mwaka yanga alichukua kabla mashindano hayajaishaIle mechi Yanga alikua tayari Bingwa aliomba ili akabidhiwe kombe lake Dar.
Matokeo hayakua 2-0
Ni 3-2 tarehe 27 Juni 2020.
Magoli ya YANGA 2 Deus Kaseki 1 Mrisho Ngassa
Sasa utafananisha timu za msimu huu na za ule msimu mliofika ninyi fainali, wale kina rivers na marumo waliokuwa wanashuka daraja na hapo mlidai mna kikosi bora, mna striker kama mayele lakini mkashindwa kubeba lile kombe ila simba dhaifu imefika hiyo hatua iliyofika yanga boraudhaifu wa timu za shirikisho
Wakati anatangaza kuhama, hawakuwa na uwanja Dar??Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.
Usishahau haya;Sasa utafananisha timu za msimu huu na za ule msimu mliofika ninyi fainali, wale kina rivers na marumo waliokuwa wanashuka daraja na hapo mlidai mna kikosi bora, mna striker kama mayele lakini mkashindwa kubeba lile kombe ila simba dhaifu imefika hiyo hatua iliyofika yanga bora
Acha kutudanganya usm alger ambao mlishindwa kuchukua kombe mbele yao walimaliza nafasi ya nne msimu wa nyuma yake, wale marumo gallants nao msimu wa nyuma yake walimaliza nafasi ya kumi na rivers united walikuwa mabingwa wa ligi dhaifu ya nigeria ambayo haipo hata top ten kwenye ligi bora africa, halafu nikukumbushe tu cafcl haichukui mabingwa pekee bali inachukua na runners up wasio mabingwa sasa hao nao mtawaita losers kisa hawajabeba ubingwa ilihali cafcl wanaendaUsishahau haya;
1. Shirikisho la wakati wa Yanga ilikuwa inahusisha waliotolewa kwenye CCL kuingia CAFCC
2. Shrirkisho la wakati huu wa 51mba, hakuna anayetoka CCL kuja CAFCC
3. Timu zilizobaki hadi fainali kwenye CAFCC, zote ni za tatu kwenye ligi yao iliyowapeleka kwenye kombe la CAFCC la sasa..!!!
HATUCHEZI FC mbona tena mmeanza kuvurugwa? Hivi mna nini nyie lakini jamani? Mbona mna wivu wa kike kiasi hicho? Ebo!Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.