KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

Kwa hiyo, simba, kule cafcc wanabebwa na caf?
 
Hebu acha kupotosha huo msimu yanga alikuwa bingwa wa michuano gani, simba amechukua ubingwa misimu minne mfululizo kuanzia 2018 mpaka 2021, sasa wewe ni ubingwa gani unaoongelea ambao huo mwaka yanga alichukua kabla mashindano hayajaisha
Nimechanganya mafaili ya mwaka. Mwaka 2020 kweli Simba ndie alikua bingwa.
Ila huo mwaka tunaouzungumzia YANGA alikua tayari keshatangaza Ubingwa aliwaomba wacheze Dar kunogesha kukabidhiwa kombe akiwa nyumbani na Yanga walikubali kuwagharamia. Ilikua ni kipindi cha MANJI
 
Unanikumbusha Ndanda FC walikujaga wenyewe ghettoni kwa Mkapa kutoa zawadi kwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara..
 
Usisahau kama lile la 1993 fainali ni la abiola ungeingia wewe au ungeingia hata lile la buza


Nikikumbuka Rais wa Yanga alivyovaa jezi ya Kaizer chief wakati wanacheza na Simba....... tena kwa kiongozi mkubwa wa timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…