Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Shukran kwa elimu ya hili joka. Nilikuwa nina safari ya kwenda porini Handeni kwenye madini lakini imebidi niiahirishe kidogo sababu ya hii story ya koboko manake nasikia huko Kwedikwazu wamejaa
 
Jamani nimewahi kusikia eti kuna nyoka ana vichwa kumi na mbili ivi ni kweli au ni maneno ya waja
 
Shukran kwa elimu ya hili joka. Nilikuwa nina safari ya kwenda porini Handeni kwenye madini lakini imebidi niiahirishe kidogo sababu ya hii story ya koboko manake nasikia huko Kwedikwazu wamejaa

Kwedikwazu sidhani km hawa koboko wapo.
Na hata km wapo basi watakuwa wachache sababu Hata huko Usukumani na Unyamwezini Kuna baadhi tu ya mapori ndio unawakuta wengi.
Hasa Mapori yenye miti ya MININGA!
Mapori ya Tanga miti hii ni michache mno!
Jipange tu ukapige hayo mashimo ya Fweza. Mchukue na Remote km ngao. Jamaa hana kazi, anazurura ovyo tu mjini.

Ukiona Nyoka mtangulize yeye.
 
Last edited by a moderator:
Nimezidi kuwaogopa hao viumbe.
Siwapendi na nina bahati mbaya ya kukutana nao kila tukienda site.
 
Shukran kwa elimu ya hili joka. Nilikuwa nina safari ya kwenda porini Handeni kwenye madini lakini imebidi niiahirishe kidogo sababu ya hii story ya koboko manake nasikia huko Kwedikwazu wamejaa
usitishike mkuu nyoka nao wanatuogopa. weka roho yakipioneer ukapige pesa. kuna jiwe la kuwaenzi pioneers linasema "waoga hawakuanza safari, dhaifu waliikufa njiani na wenye nguvu walifika mwisho".
 
Red Giant, (my two cents) asante kwa elimu ila naomba utofautishe mambo manne ya kuzingatia kuhusu kiumbe nyoka. Kuna tofauti kidogo kati ya;

  1. The most dangerous snake (wa hatari zaidi)
  2. The most feared snake (wa kuogopwa zaidi)
  3. The most deadly snake (anayeua zaidi)
  4. The most venomous snake (mwenye sumu kali zaidi)
Huyu hapa chini ndiye nyoka anayeongoza kwa kuwa na sumu kali zaidi duniani;

Aipysurus dubosii (Dubois' seasnake), its venom is enough to kill 49 men! They have medium aggressiveness and will only bite if provoked, but not spontaneously.
 
usitishike mkuu nyoka nao wanatuogopa. weka roho yakipioneer ukapige pesa. kuna jiwe la kuwaenzi pioneers linasema "waoga hawakuanza safari, dhaifu waliikufa njiani na wenye nguvu walifika mwisho".

Woga wangu ndio umaskini wangu
 
pole kwa ajili ya mama..
ila ujie sumu yoyote anayomdhuru binadamu hata kumuua hubaki kwenye mifupa.
mtu akifa kwa sumu miaka 10 iliyopita,kwa kuchunguza mifupa yake unaweza kujua ni sumu gani iliyomuua.
hivyo nafasi ipo mama akapime nje ya nchi hasa germany au france sio india.
 
Jf stress freeeeee
Nimecheka sana eti amtangulize. Remote
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu Madame B anasema Ana nyoka mwenye kufanana na Dushelele.
Sasa sijui ana maana gani hapa.!

Watu wanajadili Koboko, ye anatupeleka kwenye hisia mbovu!
Hatari sana.

Hahaha cybercrime inahusika shauri zenu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…