Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
Haov ni chatu mkuu
wachina huwa wanapenda twakula kula kuna mchina mmoja huko chunya alikulaga huyo nyoka alijua ni wakichina kilicho mpata ni hatari kwanza kabla ajafa alianza kutokwa majivu mwili mzima.
Hahahahah that's comedyNilimuona anakimbizwa na Nyegere kama vile kibaka, mtini anae, ardhini anaye, kwenye mawe anaye, mpaka akamdaka na kumtafuna kikatili !
Ukitaka kukutana na nyegere chukua fimbo halafu uchape kwenye majivu huku unakatukana ni lazima usiku ukutane nako na kasheshe lake hapo ni balaa zaidi
siku nyingi sana nilikua najiuliza hivi ni mnyama gani ambaye anaweza kumzibiti simba
lakini leo nimepata jibu
ahsante sana mdau kwa mchango wako.
Mkuu mimi ni mtu mzima siwezi kudanganya,halafu unaposema kuwa Niache ujinga una elewa kweli unachokisema??,Kwani hapa tunagombana??,Si kila mtu anasimulia jambo kwa kadiri ya uzoefu wake??,Si kila unachokiamini wewe basi na mimi nikiamini.Aways think outside the box.Acha ujinga wewe....hao viumbe hauwezi kucheza nao kabisa, ni viumbe ambao nadhani huwa wanahic kila aliye mbele yao ni adui yao......hao wengine huwa ni chatu tu au sawaka
Hapana mkuu ni koboko sema nasikia huwa wanatumia madawa,kwa hiyo ni km ushirikina fulani.Haov ni chatu mkuu
Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
Acha ujinga wewe....hao viumbe hauwezi kucheza nao kabisa, ni viumbe ambao nadhani huwa wanahic kila aliye mbele yao ni adui yao......hao wengine huwa ni chatu tu au sawaka
Mkuu ni kweli nyoka wengi sio wakorofi na inaaminika kuwa nyoka ni mojawapo ya wanyama wa mwituni wenye busara sana na kuhusu kumuona jasho ni sahihi,lkn yapo maelezo yake ya Kibailojio,kuna hormone inaitwa Thyroxine hormone ndo huwa inahusika.Wanabiolojia huwa wanapenda kuiita-Fryight,Flyght and Fight Hormone.Ukimuona tu muwahi humtemea mate wewe afu mpaka akuume ujue umemzingua sana, nyoja wengi siyo wagomvi ila uoga wetu unamfanya mtu atoe jasho ambalo linatoa harufu kali inayotoa taarifa kuwa kuwa uko tayari kwa mapambano.
Kama akiwahi kukuona na ukawa haupo upande wa makazi yake anakimbia na hii tabia ni kwa nyoka wote. Ila kama upo upande wa shimo/ makazi yake atanyanyua kichwa asubilie ukimwona tu ile harufu ikatoka huyu nyoka silaha yaya kwanza ni mate km akiona una mzidia anatumia kung'ata kwa wanyama wakubwa ila kwa tabia siyo mgomvi ingawa ana mbio sana.
Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
Mkuu ni kweli nyoka wengi sio wakorofi na inaaminika kuwa nyoka ni mojawapo ya wanyama wa mwituni wenye busara sana na kuhusu kumuona jasho ni sahihi,lkn yapo maelezo yake ya Kibailojio,kuna hormone inaitwa Thyroxine hormone ndo huwa inahusika.Wanabiolojia huwa wanapenda kuiita-Fryight,Flyght and Fight Hormone.