Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
ceaae96d464dfafab8b175eb6f03d549.png
33a68b16725e8d3fae62831033c18570.png

siku nyingi sana nilikua najiuliza hivi ni mnyama gani ambaye anaweza kumzibiti simba
lakini leo nimepata jibu
ahsante sana mdau kwa mchango wako.
 
wachina huwa wanapenda twakula kula kuna mchina mmoja huko chunya alikulaga huyo nyoka alijua ni wakichina kilicho mpata ni hatari kwanza kabla ajafa alianza kutokwa majivu mwili mzima.
 
Hivi sumu ya nyoka inatokana na nini, mwenye utaalam juu ya hili atujuze tafadhali...
 
Yaani ninaogopa nyoka kupita kiasi.lakini napenda sana kujua maisha yao.huu uzi nimeupenda mwingine anayejua kuhusu nyoka atujuzee basi.
 
wachina huwa wanapenda twakula kula kuna mchina mmoja huko chunya alikulaga huyo nyoka alijua ni wakichina kilicho mpata ni hatari kwanza kabla ajafa alianza kutokwa majivu mwili mzima.

Asante kwa kunipa kicheko
 
Ukitaka kukutana na nyegere chukua fimbo halafu uchape kwenye majivu huku unakatukana ni lazima usiku ukutane nako na kasheshe lake hapo ni balaa zaidi

Hahahaha na kanavyotombea kama bouncer pata picha ndo umeshakachokoza..kakiona umekazingua kanatafuta kisiki au mti kanajibanza ili wakati kanakabiliana na wewe adui mwingine asikadhuru kwa nyuma.
 
siku nyingi sana nilikua najiuliza hivi ni mnyama gani ambaye anaweza kumzibiti simba

lakini leo nimepata jibu

ahsante sana mdau kwa mchango wako.

Haka huwaga kanakusanya kundi la Simba na wanakimbia utadhani wameona nyati kumbe Nyegere mmoja.umbo lake dogo ila jinsi kanavyofanya vitendo vya kikatili ndo maana kanaogopwa porini.
 
Acha ujinga wewe....hao viumbe hauwezi kucheza nao kabisa, ni viumbe ambao nadhani huwa wanahic kila aliye mbele yao ni adui yao......hao wengine huwa ni chatu tu au sawaka
Mkuu mimi ni mtu mzima siwezi kudanganya,halafu unaposema kuwa Niache ujinga una elewa kweli unachokisema??,Kwani hapa tunagombana??,Si kila mtu anasimulia jambo kwa kadiri ya uzoefu wake??,Si kila unachokiamini wewe basi na mimi nikiamini.Aways think outside the box.
 
Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
ceaae96d464dfafab8b175eb6f03d549.png
33a68b16725e8d3fae62831033c18570.png

Aisee huyo noma maana anaanza na korodani uchungu wake ni bora ukatwe kichwa na IS
 
Honeybadger(nyegere) ni omnivorous anakula kila kitu ni mnyama jasir klk yyt mwili mgumu unaweza ukapita na landcruza juu yake na asidhurike.anaogopw n wanyama wote.watt wa chetah wanapata survival rate sbb wanafanana n nyegere km c hvyo fisi angewakula wt.self defence yake ni feaces akikurushia ni km -----
 
Ninatafuta kitabu ambacho nitaweza kupata Elimu ya nyoka na reptilia mbalimbali.

Mwenye kuvifahamu vitabu hivyo, tunaomba atuorodheshee
 
Acha ujinga wewe....hao viumbe hauwezi kucheza nao kabisa, ni viumbe ambao nadhani huwa wanahic kila aliye mbele yao ni adui yao......hao wengine huwa ni chatu tu au sawaka

Mbona kuna muhindi mmoja huko India anawala black mamba?
 
Ukimuona tu muwahi humtemea mate wewe afu mpaka akuume ujue umemzingua sana, nyoja wengi siyo wagomvi ila uoga wetu unamfanya mtu atoe jasho ambalo linatoa harufu kali inayotoa taarifa kuwa kuwa uko tayari kwa mapambano.

Kama akiwahi kukuona na ukawa haupo upande wa makazi yake anakimbia na hii tabia ni kwa nyoka wote. Ila kama upo upande wa shimo/ makazi yake atanyanyua kichwa asubilie ukimwona tu ile harufu ikatoka huyu nyoka silaha yaya kwanza ni mate km akiona una mzidia anatumia kung'ata kwa wanyama wakubwa ila kwa tabia siyo mgomvi ingawa ana mbio sana.
Mkuu ni kweli nyoka wengi sio wakorofi na inaaminika kuwa nyoka ni mojawapo ya wanyama wa mwituni wenye busara sana na kuhusu kumuona jasho ni sahihi,lkn yapo maelezo yake ya Kibailojio,kuna hormone inaitwa Thyroxine hormone ndo huwa inahusika.Wanabiolojia huwa wanapenda kuiita-Fryight,Flyght and Fight Hormone.
 
Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
ceaae96d464dfafab8b175eb6f03d549.png
33a68b16725e8d3fae62831033c18570.png

Mkuu huyu anaitwa baja...!
 
Mkuu ni kweli nyoka wengi sio wakorofi na inaaminika kuwa nyoka ni mojawapo ya wanyama wa mwituni wenye busara sana na kuhusu kumuona jasho ni sahihi,lkn yapo maelezo yake ya Kibailojio,kuna hormone inaitwa Thyroxine hormone ndo huwa inahusika.Wanabiolojia huwa wanapenda kuiita-Fryight,Flyght and Fight Hormone.

Mkuu ulichosema ni kweli but hiyo hormone kutoka nje ni kwa njia ya jasho nilijizuia kuongea sana kisayansi makusudi mkuu.
 
Back
Top Bottom