hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Huyu hapa mkuu,hakuna mnyama porini anaemtisha kasoro tembo,na ni vile tembo ana ngozi ngumu ila nae asingemfanya chochote,Simba,Chui wote wanamgwaya na binaadam ukikutana nae kama umemchokoza anakimbilia kurarua sehemu za siri(pu*bu).hawa black mamba sijui cobra kenge gani wote anawakamata anawala kuanzia vichwani..
![]()
![]()
siku nyingi sana nilikua najiuliza hivi ni mnyama gani ambaye anaweza kumzibiti simba
lakini leo nimepata jibu
ahsante sana mdau kwa mchango wako.