Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Mmmmh ... Sasa upite na chungu cha moto, akikugonga kwenye bega je?
Koboko huwa anajipiga fundo katika miti anayoishi tena kama ni koboko mkubwa ndio hatari sana anaweza kukugonga bila ya kumuona haswa utosini.
 
Kuna Game ranger ameandika kwenye ukurasa wake kuwa ameshuhudia Koboko akimgonga Swila na kumuua kisha akammeza.
 
Kuna Game ranger ameandika kwenye ukurasa wake kuwa ameshuhudia Koboko akimgonga Swila na kumuua kisha akammeza.

Kumbe nae anaweza kumeza nyoka mwenzie mi najua king cobra ndo anatabia za kuvizia nyoka wengine na kuwameza
 
Mmmmh ... Sasa upite na chungu cha moto, akikugonga kwenye bega je?
Sidhani kama ataweza kukugonga kwenye mabega kutokana na upana wa chungu kinachotumika kwenye hio kazi.
Ila usiombe kukutana na black mamba mwenye hasira ambaye ameshakula chumvi nyingi, maana huyu kiumbe ukibahatika kumuona mubashara akiwa ktk ukubwa wake uliokamilika anakua ni mrefu wa takriban mita 4 mpk 5 na ubaya wake kila anavyozidi kuzeeka na hasira zake pia hua zinaongezeka maradufu hua hataki aone hata jani linatingishika mbele yake.
 
Kumbe nae anaweza kumeza nyoka mwenzie mi najua king cobra ndo anatabia za kuvizia nyoka wengine na kuwameza
Hata mimi nilishangaa huenda Koboko hajafanyiwa study ya kutosha akiwa porini,hawa koboko wa kufugwa kuna tabia nyingine hawaonyeshi.
 
Kuna uongo umetudanganya hapo
 
Ulimwengu wa Venom ni wa kushangaza sana kibaiolojia, venom ya Swila ndio inatakiwa iwe hatari kuliko koboko.
 
Kwa hiyo huwa akigonga husikii maumivu?
Maumivu utasikia km kawaida ila akili ya haraka kutambua kua mjomba tyr ameshafanya yake ndio inakua ngumu maana Maumivu yakung'atwa na nyoka hua sio makali sana kutokana na uharaka wa tukio jinsi linavyofanyika ila ndani ya dakika 5 baada ya sumu kusambaa mwili akili ndio inaanza kukukaa sawa na unaanza kuwaona marehemu babu na bibi yako wanakuchekea na kukukaribisha kwenye makazi mapya.
 
Austin Steven alipokula bite! Kutoka kwa Swila
 
Kama ni kweli, basi ni kinaweza kikawa kiumbe chenye visasi zaid duniani, c kwa kuja kulipiza huko
 
Kama ni kweli, basi ni kinaweza kikawa kiumbe chenye visasi zaid duniani, c kwa kuja kulipiza huko
Baadhi ya wanyama wanauwezo wa kulipiza visasi mimi sishangai kabisa, Ngamia mathalan ukimpiga hakuachi atasubiria zamu yake ili akupe kichapo cha mafundisho.
 
Kama ni kweli, basi ni kinaweza kikawa kiumbe chenye visasi zaid duniani, c kwa kuja kulipiza huko
Kwa muda aliotaja mkuu hapo juu sina uhakika nao, Ila kwenye akili ya haraka ya kulipa kisasi na kutokukubali kushindwa sidhani km kuna nyoka mwingine anaeweza kumfikia, imagine baada ya kukwazana nae na ukaweza kumkimbia km upo porini tegemea kuna asilimia kubwa ya kumkuta mbele yako anakusubiri.
 
Aaha huyo balaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huko Dubai kwenye mbio za Ngamia siku hizi wanapandisha wanasesere baada ya wale wapandaji waliokuwa wakiwachapa ngamia ili wakimbie kuviziwa na kupigwa na ngamia hao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…