Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Aisee wapo wengi sana Kasulu hao wanyoka haswa eneo la Makere. Anaruka kama ndege halafu anakupa ya utosi usioombee ukutane Naye. Pia huwa anawika kama jogoo, sehemu anayokaa huwa miti imekauka maana akiwa na hasira huigonga na sumu yake kukausha miti

Mkuu acha fiksi!
 
kumuona kwake ni nadra sana ndio maana ukimuona ujue kuna tatizo litakutokea au atakua amejeruhiwa

huwa hataki vurugu

anaweza kusikia sauti au kishindo cha mtu akiwa umbali wa mita 500 kwa kuwa hataki vurugu hujificha na hutomuona lakin kama amejeruhiwa ni hatari sana kupita kwenye eneo lake

anaweza kufunga barabara kama amejeruhiwa

wengine waliokomaa huwa wanaota kucha mkiani ambayo hutumia kusimamia kuangalia hatari

akikasirika hupenda kuuma kichwani

anauwezo wa kuruka kufuata target

masika huishi juu ya miti na kiangazi kwenye vichuguu

hauwezi kumshika kichwa kama nyoka wengine yeye anauwezo wa kuuma vyovyote utavyokishika kichwa

sio mjinga kama nyoka wengine kichwa chake chepesi kupiga hesabu za nini afanye

Dah! Watu kwa fiksi. Nyoka anasikia sauti mita 500? Black mamba anafungaje barabara? Kucha mkiani? Msiwe mnaleta stori za vijiweni, net ipo itumieni!
 
Acheni hadithi za vijiweni....koboko anang'ata sehemu yeyote ile katika mwili wa binadamu na huishi popote si juu ya miti tu hata mapangoni na vichakani. Acheni ujinga wa hadithi za vijiweni kuna watu wamesoma humu.

Waambie hao mkuu, wanaleta stori za kwenye kahawa. Eti nyoka anawika, anasikia sauti mita 500, anaweza kufunga barabara, ana ukucha ... Ha ha ha!
 
Koboko ni hatari aisee, ila cobra nae usimchukulie poa ni habari nyingine.
 
cobra sumu yake inakuua ndani ya masaa 2,ukiwahi hospitali umepona,koboko sumu yake usipotibiwa ndani ya dakika 4 ushakuwa marehemu,halafu koboko ana uwezo wa kugonga hata watu 100 na akawaua wote kwa dkk chache wakati cobra akishakugonga mara moja anakuwa fala tu hana nguvu tena ya kugonga tena kwa kuwa jino lake hubakia kwa aliyemgonga wakati koboko jino lake hubakia kinywani mwake,baba huyu mdudu kiboko yake ni bundi na eagle na mdudu fulani hv wa porini anayependa sana kukaa majini ila sio mdudu mwingine wowote yule duniani
 
Huyu mdudu ni hatari kama ni hivyo aisee
 
mkuu,kutana nyoka wote ila sio huyu,kwani hana huruma,musa wote yeye hujiami kwa kumgonda adui yake kwa kuwa anaringia ukali wa sumu yake
 
Kuna Mnyama Anaitwa Honey Derbeger Huyo Koboko Analiwa Kama Supu Na Sumu Akitema Haimpati
Huyo Mnyama Ni Noma
Kuna Member Mmoja Humu Jf Anatumia Hiyo Picha Kwenye Avatar Yake.
 
cobra sumu yake inakuua ndani ya masaa 2,ukiwahi hospitali umepona,koboko sumu yake usipotibiwa ndani ya dakika 4 ushakuwa marehemu,halafu koboko ana uwezo wa kugonga hata watu 100 na akawaua wote kwa dkk chache wakati cobra akishakugonga mara moja anakuwa fala tu hana nguvu tena ya kugonga tena kwa kuwa jino lake hubakia kwa aliyemgonga wakati koboko jino lake hubakia kinywani mwake,baba huyu mdudu kiboko yake ni bundi na eagle na mdudu fulani hv wa porini anayependa sana kukaa majini ila sio mdudu mwingine wowote yule duniani
Duh basi koboko hana mpinzani
 
Black-mamba-resting-in-a-shrub.jpg

Mimi binafsi nyoka simpendi kabisa, yaani hata awe mdogo namna gani, ni afadhali nikutane na Simba au Chui kuliko nyoka.
 
Habari wanaJF,

Leo nataka tufahamishane kuhusu nyoka huyu hatari kwa sisi waswahili tunamuita KOBOKO lakini kwa lugha ya kiingereza huitwa Black Mambas

Black mamba ni moja ya nyoka hatari sana katika dunia. Nyoka hawa hupatikana katika sehemu Mashariki na Kusini mwa Afrika. Black mamba anaweza kuishi katika aina mbalimbali za mazingira: savanna, mabwawa, misitu na maeneo ya miamba. Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu ni sehemu nzuri ya kuishi Black Mamba. Kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezeka kwa kilimo, makutano kati ya Black Mamba na binadamu yameongezeka zaidi.

Black-Mamba.jpg

1- Black mambas ni nyoka mwenye sifa ya urefu anaweza kufikia miguu 14 urefu na 1.58757 katika uzito.

2- Black mamba ana mwili mwembamba kufunikwa na ngozi yenye magamba kama ilivyo kwa nyoka wa jamii nyingine, Pamoja na wao kujulikana kwa kiingereza kama Black mambas lakini hawana rangi nyeusi katika ngozi na rangi ya mwili inategemea makazi yao na inaweza kuwa ya kijani, kijivu au njano.

3- Black mambas ni jina lake kwa sababu sehemu ya ndani ya vinywa vyao ni nyeusi kabisa. Black mamba kuonyesha kinywa chake cheusi wakati anakabiliwa na hatari.

4- Nyoka huyu huanza kutanua shingo yake lakini sio kama afanyavyo COBRA na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa inatoka upepo na hii ni ishara nyingine kwamba kiumbe hutayari shambulio. Ukiona amena moja ya hizo ishara unashauri wa usifanye chochote kwasababu kwa kasi aliyonayo hutaweza kumuwai kifupi tulia mpaka hasira zishuke na ajiondokee narudia usithubutu kujifanya unafurukuta matendo yako hayatawahi tendo lake.

5- Ingawa nyoka huyu amebeba sifa ya kuwa nyoka mjeuri na mkali sana, lakini nayeye hujaribu kutoroka kabla mashambulizi lakini hushambulia kwa ukatiri sana ikibidi. Kumbuka kwa mtulivu ukikutana nae

6- Sasa upande wa sumu hapa ndipo patamu Black mamba ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa Neuro – hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni Cardio-toxin hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake inaweza kuua.

7-Black mamba anatumia sumu kuwinda aina mbalimbali za ndege na wanyama wadogo. Na hutumia kama kitoweo chake

8- Black mamba anaishi katika mashimo ya miti na katika mashimo ya miamba. Pamoja na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, lakini hana ujanja mbele ya Nguchiro na Mbweha, na Nyegere.

9- Black mamba hutembea haraka sana akiwa juu ya ardhi. Anaweza kusafiri umbali mrefu kwa kasi ya maili hadi 12 kwa saa. Hivyo usijaribu kukimbia atakufukuza mpaka akugonge sehemu ya mwili wako.

10- Jike hutaga mayai kati ya 10 na 25 katika kiota juu ya ardhi. Joto ni muhimu kwa ajili ya incubation ya mayai. Na mayai hujitotoa baada ya miezi 3. Na vijinyoka hivyo vichanga huanza kujihudumia kwa kila kitu na huwa na sumu ile ile kama ya nyoka mkongwe hivyo usije ukadharau.

maxresdefault.jpg

11- Black mamba anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 katika kama atafugwa.
 
Huyu nyoka ni hatari sana. Kama wewe ni mtu wa miraba minne ni bora upambane na chatu ambaye kwa kawaida hana sumu kuliko kukabiliana na nyoka huyu.
 
View attachment 344401

View attachment 344402

11- Black mamba anaweza kuishi hadi miaka 11 katika pori na hadi miaka 12 katika kama atafugwa.
Very nice analysis ingawa hujasema mazingira yapi anapenda kuishi(baridi, joto sana,misituni au katika mbuga) na je harufu au mavi ya ng'ombe yanathari kwake? Kisha naomba kufahamu kama wale nyoka wa majini nao ni aina ya koboko( black mambas)
 
Lakini pia sumu yake akimgonga nyegere(Honey barger) humpa hang over tu kesho yake huyu black mambas na mwezie king cobra wanaonewa sana na nyegere(honey badger),kicheche ( stripped polecat) na nguchiro (mongoose) nhivi vimnyama vinatafuna nyoka kama tunavyotafuna papuchi. Easily
 
Huyu nyoka ni hatari sana. Kama wewe ni mtu wa miraba minne ni bora upambane na chatu ambaye kwa kawaida hana sumu kuliko kukabiliana na nyoka huyu.
Kuna documentary moja ninayo mwanzo mtangazajia anasema kama ukikutana na huyu nyoka usithubutu kufanya chochote hatari sana
 
Back
Top Bottom