imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Halafu gamba likimbana analivua na anazidi kukua.Halafu huyu msela anaonekana anangozi ngum asee yan magamba kama kobe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu gamba likimbana analivua na anazidi kukua.Halafu huyu msela anaonekana anangozi ngum asee yan magamba kama kobe
Kifo chake kilitabiriwa kuwa atauwawa na hivyo viumbe anavyovichezea.Nimecheki maisha ya Steve Irwin (Australia), dah so shocking! Jamaa alikuwa na roho ngumu kucheza na wadudu wa dizaini, japo alikuja kuuawa na samaki jamii ya shark!
View attachment 772376
Nimetulia na wangu laazizi.
Na ndio urafiki wa kweli.Urafiki wa mashaka huu
Nimecheki maisha ya Steve Irwin (Australia), dah so shocking! Jamaa alikuwa na roho ngumu kucheza na wadudu wa dizaini, japo alikuja kuuawa na samaki jamii ya shark!
Stingraysio shark mkuu...sikumbuki ni samaki gani lakini sio shark,lol
Huyu alimuuwa Steve Irwin nimemchukia sana tangu wakati huoView attachment 776580
Stingray
Kwa kweli hakuna alieamini maana jamaa tulikuwa tunajua kama atakufa atauwawa na nyoka au wanyama wakali lakini sio stingrayNimecheki maisha ya Steve Irwin (Australia), dah so shocking! Jamaa alikuwa na roho ngumu kucheza na wadudu wa dizaini, japo alikuja kuuawa na samaki jamii ya shark!
Yule jamaa nomaaNimecheki maisha ya Steve Irwin (Australia), dah so shocking! Jamaa alikuwa na roho ngumu kucheza na wadudu wa dizaini, japo alikuja kuuawa na samaki jamii ya shark!
Kwanini nyoka anavua gamba?Halafu gamba likimbana analivua na anazidi kukua.
Taa ana sumu?Kiswahili anaitwa Taa.
Yes...Steve kuna siku niliona anacheza na croc. Mkubwa kinoma, yaani anamchezea kama mwanasesere vile!Huyu alimuuwa Steve Irwin nimemchukia sana tangu wakati huo
Sikutegemea angekufa kwa kuchomwa na Stingray
It was a biggest shock
Fakeni kweli! Arekodiwe huku anakata roho[emoji15] [emoji15] wazungu hamnazo kweli!Kwa kweli hakuna alieamini maana jamaa tulikuwa tunajua kama atakufa atauwawa na nyoka au wanyama wakali lakini sio stingray
Maana asili yake huyu samaki ni mpole na watu huwa wanaogelea nae na kumsogelea kwa muda mrefu
Na Steve alikuwa anawaambia cameraman kwa lolote litalomtokea keep rolling msizime video
Kwa hiyo mpaka anatapatapa alikuwa anarekodiwa
So sad
Jamaa alikuwa mzuri sana kwa wanyama na entertainer pia RIP Steve
Bora wajuzi mmetokea, nimetishwa sana mpaka nikaona huyu nyoka sasa ni jangaHapana wala hagongi ovyo mpaka umchokoze mwenyewe au umukanyage, make ile sumu yake imetengenezwa kwa ajiri ya kutafutia chakula, to kill prey, hata pia anavyokugonga yani anaona hasara xana sumu yake ya kuulia wadudu anakuuwa weewe jitu zima
Kuna wale nyoka wanaonukia harufu ya wali, sijui wanaitwaje.