Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Wakuu naomba kuuliza ,hivi ni kwa nini
black mamba ndo anatajwa sana
kuliko green mamba au yule wa kijani
hana matata?
Kule saba saba kwenye mabanda
yao huwa wanao wale green mamba.
 
images.jpg

Stingray
 
Huyu samaki Taa anamkia ambao una kitu kama mshale ukimsogelea karibu anakuchoma nao "barb"mshale huu una sumu ambayo husababisha maumivu makali.
s-l300.jpg
 
Attachments

  • 8.jpg
    8.jpg
    31.7 KB · Views: 67
Nimecheki maisha ya Steve Irwin (Australia), dah so shocking! Jamaa alikuwa na roho ngumu kucheza na wadudu wa dizaini, japo alikuja kuuawa na samaki jamii ya shark!
Kwa kweli hakuna alieamini maana jamaa tulikuwa tunajua kama atakufa atauwawa na nyoka au wanyama wakali lakini sio stingray
Maana asili yake huyu samaki ni mpole na watu huwa wanaogelea nae na kumsogelea kwa muda mrefu

Na Steve alikuwa anawaambia cameraman kwa lolote litalomtokea keep rolling msizime video
Kwa hiyo mpaka anatapatapa alikuwa anarekodiwa
So sad
Jamaa alikuwa mzuri sana kwa wanyama na entertainer pia RIP Steve
 
Huyu alimuuwa Steve Irwin nimemchukia sana tangu wakati huo
Sikutegemea angekufa kwa kuchomwa na Stingray
It was a biggest shock
Yes...Steve kuna siku niliona anacheza na croc. Mkubwa kinoma, yaani anamchezea kama mwanasesere vile!

Eti kaja kuuliwa na haka kasamaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hawa samaki wanaliwa na binadamu?
 
Kwa kweli hakuna alieamini maana jamaa tulikuwa tunajua kama atakufa atauwawa na nyoka au wanyama wakali lakini sio stingray
Maana asili yake huyu samaki ni mpole na watu huwa wanaogelea nae na kumsogelea kwa muda mrefu

Na Steve alikuwa anawaambia cameraman kwa lolote litalomtokea keep rolling msizime video
Kwa hiyo mpaka anatapatapa alikuwa anarekodiwa
So sad
Jamaa alikuwa mzuri sana kwa wanyama na entertainer pia RIP Steve
Fakeni kweli! Arekodiwe huku anakata roho[emoji15] [emoji15] wazungu hamnazo kweli!

Yule si huwa anatembea na madokta? Ilikuwaje kafa kizembe hivyo?
 
Hapana wala hagongi ovyo mpaka umchokoze mwenyewe au umukanyage, make ile sumu yake imetengenezwa kwa ajiri ya kutafutia chakula, to kill prey, hata pia anavyokugonga yani anaona hasara xana sumu yake ya kuulia wadudu anakuuwa weewe jitu zima
Bora wajuzi mmetokea, nimetishwa sana mpaka nikaona huyu nyoka sasa ni janga
 
Back
Top Bottom