Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na singida . Tuachie team yetuMwigulu anatoa wapi fedha za kumiliki timu ya mpira?
Mambo hadharani, pesa za ufisadi ndio zinazoendesha mpira wetu. Hili la waziri kumiliki timu ya singida tulikuwa tunalijua japo yeye anajaribu kulificha. Msingi nayo ni ya PM ñk."kesho yake tulikaa kikaoni na uongozi wa Klabu kikiongozwa na Waziri wa Fedha ambaye ndiye bosi wa Klabu"
Mbona huwa anakataa kuwa yeye ndiyo mmiliki huyo Waziri!?
Halafu waje wakatae"kesho yake tulikaa kikaoni na uongozi wa Klabu kikiongozwa na Waziri wa Fedha ambaye ndiye bosi wa Klabu"
Mbona huwa anakataa kuwa yeye ndiyo mmiliki huyo Waziri!?
Bila kuiongea Yanga maisha yanakua magumu sanaNatamani Gamondi nae alijitambue kama huyu msouth,maana pale gongowazi Kuna wapuuzi wanajiona miungu watu na tunajua Wana first eleven Yao.
Hapo napo ni yaleyale kupangiwa timu.Simba kocha huyu hapa mshindwe wenyewe
Muone huyu nae.Natamani Gamondi nae alijitambue kama huyu msouth,maana pale gongowazi Kuna wapuuzi wanajiona miungu watu na tunajua Wana first eleven Yao.
Sasa ndo unajuzwa yeye ni mmilikiii."kesho yake tulikaa kikaoni na uongozi wa Klabu kikiongozwa na Waziri wa Fedha ambaye ndiye bosi wa Klabu"
Mbona huwa anakataa kuwa yeye ndiyo mmiliki huyo Waziri!?
Hatariii tupuAfu uyu waziri wa fedha ndio mjumbe wa utopolo?siku uto wakikutana na hiyo team si wanajipigia tu