cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shida ya wabongo wanafikiri kila mzungu anayekuja hapa ana njaaa. wengine hapo walishawekeza huko kwao tangu mababu, huku wanakuja tu kutafuta umaarufu. si umeona hapo amesema hela amewaachia wanaweza kutumia kwenye shughuli zao zingine.