Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

shida ya wabongo wanafikiri kila mzungu anayekuja hapa ana njaaa. wengine hapo walishawekeza huko kwao tangu mababu, huku wanakuja tu kutafuta umaarufu. si umeona hapo amesema hela amewaachia wanaweza kutumia kwenye shughuli zao zingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba na Yanga hazina ubavu wa kumchukua kocha anayejielewa na mwenye msimamo kama huyu!!
 
Viongozi wa serikali nchi hii ni majanga. Hapo MWIGULU Kwa kuwa tu Waziri anaamini anaweza kukontroo Hadi ndoa za Wananchi.
 
Wewe Hussein Massanza, hata kama unamuogopa huyo boss wako! Bado unatakiwa umwambie ukweli. Aache kuingilia kazi za watu. Ona sasa mmempoteza kocha makini sana kutokana tu na uswahili wenu.

Halafu si ndiyo wewe ulitukatalia hapa eti mwigulu hahusiki na hiyo timu yenu!! Sasa imekuwaje tena Kaburu amewaumbua!!!
 
Simba kocha huyu hapa mshindwe wenyewe
Huko nako mambo ni hayo hayo tu ya kupangiana kikosi!! Hawatawezana, ila huo ndio msimamo sasa unaotakiwa kwa makocha wanaojitambua!! TATIZO NI NJAA KWA WENGI.
 
Wewe Hussein Massanza, hata kama unamuogopa huyo boss wako! Bado unatakiwa umwambie ukweli. Aache kuingilia kazi za watu. Ona sasa mmempoteza kocha makini sana kutokana tu na uswahili wenu.

Halafu si ndiyo wewe ulitukatalia hapa eti mwigulu hahusiki na hiyo timu yenu!! Sasa imekuwaje tena Kaburu amewaumbua!!!

Tumia akili yako vizuri mkuu Tate. Usikubali kuaminishwa vitu kizembe hivyo!

Tumia akili yako vizuri mkuu Tate. Usikubali kuaminishwa vitu kizembe hivyo!

Nitakuwa mtu wa mwisho hapa duniani kuamini kama Singida (Big Stars) Fountain Gate siyo mali ya Mwigulu Nchemba.

Halafu ukiniletea kesi ya mtu mwenye ngozi nyeusi, na yule mwenye ngozi nyeupe; halafu uniulize unamwamini nani kwenye utetezi wa hao watu wawili? Nitakuambia ngozi nyeupe ndiye nitakaye mwamini.
 
Back
Top Bottom