Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.

Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.

Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
 
pole sana naona umeandika kwa hisia sana
 
Leo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.

Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
 
Si bado mnajenga timu? Gangeni yajayo, tumieni msimu ujao kuweza kupata kikosi cha kwanza, then msimu wa 2026/2027 ndiyo mianze kupigania trophies
 
Tatizo la waTanganyika kupenda unafiki ndiyo huku sasa. Yaani inataka aseme uongo ili kuridhisha nafsi yako. ?!

Kikubwa Simba wabadilike. Hata hizo point 78 timu imefika kwa kubebwa. Mechi ya Mashujaa, SBS na nyingine nyingi , Simba hakustahili kupata point 3 za michezo hiyo. Sema marefa
 
Amesema ukweli, ukweli ambao
Wewe unaujua, mimi naujua, viongozi wanaujua, wachambuzi wanaujua... labda hiyo kusema hadharani itawastua.

Unalalamika alianza na Mukwala, alivyoingia Lionel 'Lewandowski' Ateba 😂 alifanya nini? Kikosi kina quality ndogo sana
 
Kocha kazungumza hayo ila in a very professional way, mpaka nikamkubari Kwa namna alivyozungumza....!

Sasa Mswahili kasikia kwenye Vipindi vya michezo Wachambuzi wakizungumzia kaja hapa kuzungumza kiswahili.
 
StellenBosch FC tunawadai Makolokolo SC goli lao la offside kule Zenji la CAFCCL, pia goli halali tulilokataliwa kule South Africa.

Makolokolo bila ushirikina, rushwa na janja janja za kudekezwa kwenye NBC PL na michuano ya kimataifa inawezekana, amkeni hapo umbumbumbuni Makolokolo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.

Quote Reply
 
Kwani mechi ya Jana kapombe na Zimbwe wamewashinda mwenda na boca!?
Nyie mmetupa wakati mgumu sana sababu ya ubwela wenu Sasa Pacome anaomba mshahara wa 100ml mzize anataka 1.5bl ndio asaini mngewakazia angalau wasingeongeza
Si tunaomba draw kipa lenu linacheza judo tunataka draw beki zenu zinatanuuuuuka
Next time tunawanyoa tena mmevuruga budget
 
Kocha kazungumza hayo ila in a very professional way, mpaka nikamkubari Kwa namna alivyozungumza....!

Sasa Mswahili kasikia kwenye Vipindi vya michezo Wachambuzi wakizungumzia kaja hapa kuzungumza kiswahili.
Kifupi mleta mada anamlaumu kocha kusema "tunawadai"uongozi hadharani
 
Kwani mechi ya Jana kapombe na Zimbwe wamewashinda mwenda na boca!?
Nyie mmetupa wakati mgumu sana sababu ya ubwela wenu Sasa Pacome anaomba mshahara wa 100ml mzize anataka 1.5bl ndio asaini mngewakazia angalau wasingeongeza
Si tunaomba draw kipa lenu linacheza judo tunataka draw beki zenu zinatanuuuuuka
Next time tunawanyoa tena mmevuruga budget
Najitolea mifuko 1000 ya simenti na nondo 700 kumjengea Kibu Denga chuo cha karate and comfuu makao makuu Dodoma. Kanjibai anaua kipaji cha Master wa karate and comfuu...🙎

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Quote Reply
 
Si bado mnajenga timu? Gangeni yajayo, yumieni msimu huu kuweza kupata kikosi cha kwanza, then msimu wa 2026/2027 ndiyo mianze kupigania trophies
Na wakati huo bado Yanga atakua anazidi kujipanga.
Kwa hamasa waliyonayo Yanga saivi ,ni kufanya updates tu.

Kifupi Simba , itakua inaombea dua la kuku tu Yanga adondoshe point kwenye timu zingine.
 
Mimi ni mnyama ingawa sijamsikia kocha akisema hivyo

Lakini si haki kusema kwamba Fadlu hajafanya chochote,tusimuone kocha mbaya kwa matokeo ya dabi

Tangu aje amekuwa akijenga timu na matokeo tumeyaona

Nguvu moja daima
 
Leo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.

Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
Tuliwaambia kila mara hamna timu mkavimba kichwa kisa final ya CAF ambayo mlikutana na timu dhaifu kwa kuwa msimu huu hakuna timu iliyotoka club bingwa kuja shirikisho
 
Back
Top Bottom