Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.

Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.

Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
Kwani Simba wana mashimdano gani tena kwa msimu huu wa 3024/2024?

Ameongea hayo sababu msimu umeisha na dirisha la usajili litaanza hivi karibuni.

Kama Simba wangekuwa bado wana mechi za kombe lolote hasingeweza kuongea hayo
 
Najitolea mifuko 1000 ya simenti na nondo 700 kumjengea Kibu Denga chuo cha karate and comfuu makao makuu Dodoma. Kanjibai anaua kipaji cha Master wa karate and comfuu...🙎

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Quote Reply
Haha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haaaaaaaaaaaa..
 
Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.

Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.

Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
Shida yenu mmezoea uongo wa maccm hamtak kusikia ukweli
Simba hana timu wachezaji wake n average sana mechi nyingi anashinda kwa bahat bahat tu
 
Kocha amesema ukweli ili uongozi wa simba ujiandae kwa usajili wa wachezaji wenye uwezo kwa mashindano makubwa yajayo.
 
Leo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.

Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
Binafsi sijajua nini kilipelekea Sadio Kanoute kutoendelea Simba SC. Alikuwa anafunga akichezeshwa namba 8 au kukaba akichezeshwa namba 6.
 
Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.

Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.

Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
1. Kwani Fadilu yupo humu
2. Kwani fadilu anajua Kiswahili

Umeandika ili tukamuambie au
 
Acha kulea unafiki na uongo uongo. Ukweli usemwe adharani. Ili viongozi wasajili wachezaji bora sio bora wachezaji
 
Leo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.

Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
Sasa kama hawa wote uliowataja siyo quality players! Kwa hali hiyo timu ina quality players wangapi?

Si ni juzi tu hapa mlikuwa mnasema Ahoua apewe tuzo ya MVP!! Halafu hapa umemuweka kwenye kundi la wachezaji ambao siyo quality players pamoja na kuwa mfungaji bora wa ligi kuu!

Hao akina Mukwala, Ateba wana goli 10+!!! Shida iko wapi? Camara ndiyo golikipa mwenye clean sheet nyingi zaidi!! Mashabiki wa simba kuweni na uvumilivu. Mambo mazuri hayatako haraka. Wapeni muda wachezaji wenu wazoeane na kucheza kitimu kama wale wa Yanga.
 
Back
Top Bottom