Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
pole sana naona umeandika kwa hisia sanaJana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.
Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.
Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
kazungummza ukweli msimuhukumuLeo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.
Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
Si bado mnajenga timu? Gangeni yajayo, tumieni msimu ujao kuweza kupata kikosi cha kwanza, then msimu wa 2026/2027 ndiyo mianze kupigania trophiesJana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani kusema maneno Yale, au wewe pia umefurahi Simba kufungwa Jana.
Kila mtu alikuwa anajua wachezaji wetu walivyo, hayo hayakuwa ya kusema kwenye media, wewe ungeandika ripoti Yako ukaiwasilisha kwa uongozi wayafanyie kazi, umeshusha sana brand ya Simba kwa kauli zako za kibwege Jana.
Wewe mwenyewe umetufelisha sana, Mutale amweke benchi Kibu umeona wapi, umeanza na Mukwala alikuwa anazunguka TU uwanjani.Huna lolote wewe.
Kifupi mleta mada anamlaumu kocha kusema "tunawadai"uongozi hadharaniKocha kazungumza hayo ila in a very professional way, mpaka nikamkubari Kwa namna alivyozungumza....!
Sasa Mswahili kasikia kwenye Vipindi vya michezo Wachambuzi wakizungumzia kaja hapa kuzungumza kiswahili.
😂😂😂Kifupi mleta mada anamlaumu kocha kusema "tunawadai"uongozi hadharani
Wala Fadru hakusema hivyoKifupi mleta mada anamlaumu kocha kusema "tunawadai"uongozi hadharani
Najitolea mifuko 1000 ya simenti na nondo 700 kumjengea Kibu Denga chuo cha karate and comfuu makao makuu Dodoma. Kanjibai anaua kipaji cha Master wa karate and comfuu...🙎Kwani mechi ya Jana kapombe na Zimbwe wamewashinda mwenda na boca!?
Nyie mmetupa wakati mgumu sana sababu ya ubwela wenu Sasa Pacome anaomba mshahara wa 100ml mzize anataka 1.5bl ndio asaini mngewakazia angalau wasingeongeza
Si tunaomba draw kipa lenu linacheza judo tunataka draw beki zenu zinatanuuuuuka
Next time tunawanyoa tena mmevuruga budget
Na wakati huo bado Yanga atakua anazidi kujipanga.Si bado mnajenga timu? Gangeni yajayo, yumieni msimu huu kuweza kupata kikosi cha kwanza, then msimu wa 2026/2027 ndiyo mianze kupigania trophies
Wahamie Zanzibar, kule wanaweza wakatawala, sidhani kama kuna timu inaqeza ikaisumbua Simba kuleNa wakati huo bado Yanga atakua anazidi kujipanga.
Kwa hamasa waliyonayo Yanga saivi ,ni kufanya updates tu.
Kifupi Simba , itakua inaombea dua la kuku tu Yanga adondoshe point kwenye timu zingine.
Tuliwaambia kila mara hamna timu mkavimba kichwa kisa final ya CAF ambayo mlikutana na timu dhaifu kwa kuwa msimu huu hakuna timu iliyotoka club bingwa kuja shirikishoLeo Mukwala anacheza vizuri, kesho anaboronga, Mutale, Ateba, Ahoua, Camara, Ngoma, Zimbwe. Hiyo itoshe kusema hatuna Quality players.
Watu wa usajili wao wanachojali ni kupiga 10% tu kila msimu.
😅😅Kweli Mkuu Simba tuende Zanzibar?Wakuhamia Zanzibar, kule wanaweza wakatawala, sidhani kama kuna timu inaqeza ikaisumbua Simba kule