Kocha Matola, Boss wako Pablo na Benchi lenu zima la Ufundi ni kwamba Orlando Pirates FC yenyewe ni ile ya kuanzia dakika ya 70 hadi ya 93 ya Mchezo

Simba anatakiwa msako mwanzo/mwisho.
Hakuna kupaki basi.
Sub zifanyike on time,pale panapoonekana uhitaji.
Otherwise kuna ushindi.
 
Jamani tuwe tunajadili hili kombe likitua JNIA litapita mitaa gani ili wanasimba walione na kufurahiya
 
Hata Jwanengi hawakuwa bora sana ila walitushangaza kwa kufuzu tena kwenye uwanja ambao timu nyingine zinauhofia mno ,ni ujinga kuamini kila shuti watakalopiga hao Pirates litakuwa goli maana kama ni hivyo tuonesheni timu ambayo pirates kaifunga goli 5 pale south kwenye makundi ili walau iwe kipimo

Ni kawaida timu ikishafungwa kushambulia haijalishi ipo wapi rejea mechi ya Simba vs Al Ahly kule Cairo ambayo Al Ahly alishinda 1-0

Simba akicheza defensive ni ngumu kumfunga hata kwa Berkane na Asec ni vile Simba iliamua kucheza kwa kushambulia kama timu ya nyumbani ndiyo maana kwa Gendarmarie game plan ilivyokuwa tofauti unaona matokeo yalikuwa bora japo watu walilalama mpira wa simba haukuwa bora
 
acha uongo
 

....
 
😍
 
Ukiona neno "hasa kimbinu" 🤣🤣

@monocycline =gentamycine ..
 
Uko sahihi,wale jamaa lile ndio soka lao..sasa mechi ya marudiano ule msako utakua tangia dakika ya kwanza..na jinsi wachezaji wa simba wanavyokabia kwa macho..tutegemee over 1.5 kipindi cha kwanza..

Wakiwa kwao wakifunguka ndio nafasi nzuri ya kuwashambulia na kuwafunga! Hawatishi kivile! Hawako kwenye kiwango Cha Mamelod sundiwns Wala Kaizer Chiefs.
 
Faida ya goli 1 ni rahisi sana kuchapwa. Angalau tungekuwa na goli 3 ingekuwa afadhali ili kule tukapark basi.
Unadhani unacheza na Geita pale? Tutajie timu iliyoshinda magoli matatu kwenye hatua hii. Poor Utopolo!
 
Wala hiyo mbinu dhaifu haiwezi kusaidia timu ishinde, halafu inaonekana unafikiria sana mambo ya "Meta-physics," mpira ni Technics na Tactics na tofauti na hapo ni uongo tu wa baadhi ya watu kutafuta namna ya kupiga pesa.
 
Unadhani unacheza na Geita pale? Tutajie timu iliyoshinda magoli matatu kwenye hatua hii. Poor Utopolo!
Mwaka jana CAF CL, Simba walibamizana hayo magoli na Kaiza katika hatua ya robo fainali

Simba alijaribu kupindua meza kwa kuichapa Kaiza goli 3 kwa bila(second leg) kwa Mkapa.

Hapo ilikuwa Geita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…