Wewe na wenzio kama ni vitani mnafaa kutandikwa risasi.
Nini cha ajabu sana walichonacho hao ambacho Simba hana?
Nini cha ajabu sana walichonacho hao ambacho Simba hana?
Kwa asilimia kubwa nasimama hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa asilimia kubwa nasimama hapa.
Hapo toka Sakho weka Kibu Denis.
Sakho mbinafsi sana. Analazimisha afunge yeye tu na kutukosesha ushindi.
Makocha wa Simba wanachelewesha sana Sabu.
Ile ya Popoma OGIpi?
acha uongoBaada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la Ufundi kama kweli tunataka Kuwakabili vilivyo Orlando Pirates FC Kwao katika Mechi yetu ya marudiano nao basi tuanze Kuwasoma Kiuchezaji ( hasa Kimbinu ) kuanzia dakika hizi nillizozitaja hapa nikiamini kuwa tunaweza Kuwaweza na hatimaye Kufuzu Nusu Fainali.
Mwisho nasisitiza tena na nauomba Uongozi wa Simba SC kuwa Timu isiwahi kwenda Johannesburg Afrika Kusini bali iende ( ifike ) Siku Moja tu kabla ya Mechi isipokuwa ile Advance Team tu ya akina Abbas na CEO Barbara Gonzalez ndiyo itangulie na naomba Kamati ya Umafia ( Mikakati ) ijipange vyema kwa hii Mechi kwani Orlando Pirates FC.
Kwa Hasira walizoondoka nazo hapa Tanzania nina uhakika watatufanyia kila aina ya Hujuma Kutudhoofisha hivyo hata Wachezaji wa Simba SC nao Wajengwe mapema Kisaikolojia na wajue kuwa hii ni Vita kweli na wanatakiwa Kupambana kwa Jasho na Damu hadi tone la mwisho na hatimaye tufanikiwe Kufuzu.
Wewe uliyepigwa BAN kwa Kunitukana.Abarikiwe nani?
Hivi hapa JamiiForums kuna ID inaitwa GENTAMICIN kama ulivuoandika? Mkiambiwa hamna Akili na acheni Kukurupuka hamkubali na hamtaki.@GENTAMICIN
Nenda Kadinywe huko usinipotezee muda.acha uongo
Hata Jwanengi hawakuwa bora sana ila walitushangaza kwa kufuzu tena kwenye uwanja ambao timu nyingine zinauhofia mno ,ni ujinga kuamini kila shuti watakalopiga hao Pirates litakuwa goli maana kama ni hivyo tuonesheni timu ambayo pirates kaifunga goli 5 pale south kwenye makundi ili walau iwe kipimo[/volor]
😍Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la Ufundi kama kweli tunataka Kuwakabili vilivyo Orlando Pirates FC Kwao katika Mechi yetu ya marudiano nao basi tuanze Kuwasoma Kiuchezaji ( hasa Kimbinu ) kuanzia dakika hizi nillizozitaja hapa nikiamini kuwa tunaweza Kuwaweza na hatimaye Kufuzu Nusu Fainali.
Mwisho nasisitiza tena na nauomba Uongozi wa Simba SC kuwa Timu isiwahi kwenda Johannesburg Afrika Kusini bali iende ( ifike ) Siku Moja tu kabla ya Mechi isipokuwa ile Advance Team tu ya akina Abbas na CEO Barbara Gonzalez ndiyo itangulie na naomba Kamati ya Umafia ( Mikakati ) ijipange vyema kwa hii Mechi kwani Orlando Pirates FC.
Kwa Hasira walizoondoka nazo hapa Tanzania nina uhakika watatufanyia kila aina ya Hujuma Kutudhoofisha hivyo hata Wachezaji wa Simba SC nao Wajengwe mapema Kisaikolojia na wajue kuwa hii ni Vita kweli na wanatakiwa Kupambana kwa Jasho na Damu hadi tone la mwisho na hatimaye tufanikiwe Kufuzu.
Uko sahihi,wale jamaa lile ndio soka lao..sasa mechi ya marudiano ule msako utakua tangia dakika ya kwanza..na jinsi wachezaji wa simba wanavyokabia kwa macho..tutegemee over 1.5 kipindi cha kwanza..
Sawa ng'ombe wa Mayele tumekuelewa.Simba tumeshatoka
Unadhani unacheza na Geita pale? Tutajie timu iliyoshinda magoli matatu kwenye hatua hii. Poor Utopolo!Faida ya goli 1 ni rahisi sana kuchapwa. Angalau tungekuwa na goli 3 ingekuwa afadhali ili kule tukapark basi.
Kwa hiyo hizo goli 6 alikuwa Orlando stadium au hukuelewa swali langu?
Mwaka jana CAF CL, Simba walibamizana hayo magoli na Kaiza katika hatua ya robo fainaliUnadhani unacheza na Geita pale? Tutajie timu iliyoshinda magoli matatu kwenye hatua hii. Poor Utopolo!