Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?

Kama una amini ni biashara,kwanini hiyo biashara wasifanye na CR7?
Ulisikia wapi na lini CR7 alilalamikiwa kubeba tuzo za Ballon D' Or hata 1 tu? Sana sana Messi tuzo alizobeba kihalali ni 5 ila 3 zote kalalamikiwa hadi zingine anajistukia kukabidhiwa akidai wapinzani wake ndiyo walikuwa wanastahili hizo tuzo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hakika umesema hizi ni biashara. Kuna mwaka Adebayor alilalamika, alipewa taarifa yeye ndiye mshindi akasema Kwa bahati mbaya hawezi kufika kwenye tuzo sababu ana mechi muhimu. Kilichotokea wakamwambia kama haendi atachaguliwa mchezaji mwingine, na hakika ndicho kilichotokea. Tuzo za kijanja kijanja.
 
Messi wa miaka mitano nyuma si Messi huyu wa 2023, mpira huchezwa hadharani na tunaona kabisa jinsi alivyoshuka ubora wa soka.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nilikujibu hivyo sababu mada haizungumzii jinsi balloon d'o zinavyotolewa bali ni ubora wa Messi kwa alichozungumzia Kocha wa Argentina.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nilikuuliza hilo swali kwa makusudi kabisa baada ya wewe kudai kua Messi anapendelewa,ungejua jinsi mshindi anavyopatikana wala usingesema hiyo kauli.
 
Nilikuuliza hilo swali kwa makusudi kabisa baada ya wewe kudai kua Messi anapendelewa,ungejua jinsi mshindi anavyopatikana wala usingesema hiyo kauli.
Yani wewe na mimi tujue Balloon d'o zinavyotolewa lakini Messi mwenyewe ajistukie kwa aibu kuwa hakustahili kabisa tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 zaidi ya kina Lewandowski na Haaland?

Baki unavyoamini nami nibaki ninavyoamini kuwa kati ya Balloon d'o 8 za Messi ni 3 ndizo za uhalali.

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi na Ronaldo kwa ubora wa soka.

2010 Messi hakustahili kabisa tuzo ya Balloon d'o.

Hata Messi akibeba tuzo 100 hainipunguzii wala kuniongezea chochote kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nilifikiri najadili na mtu wa soka aisee.
 
Ronaldo Vs Messi
Ronaldo mpira juhudi na nguvu Messi mpira kipaji na akili
Ronaldo ni mfalme wa mpira Messi ni mungu mtu wa mpira
Ronaldo anacheza mpira Messi anajua mpira
Ronaldo mzee wa mashoot Messi mzee wa kudribble
 
Mashabiki wa dwarf wanapenda kutoa ujiko kwa kupagawa na vitu vidogovidogo
 
Ni mwaka gani ambao adebayor alimaliza hata 10 bora kwenye ballon d'or ??? . Timu karibia zote alizo cheza adebayor enzi zake hazijawahi kuchukua kombe lolote la maana ataanzaje kuwa kwenye kinyang'anyiro cha kupokea tuzo ? .. yaani adebayor aalikwe kwenye sherehe za ballon d'or aache kwenda hahahah umesikia wapiii au porojo tuu
 
Pia zipo ballin d'or ambazo Ronaldo hakustahili kaka.
Ukisema hivyo balloon dor ya 2013 Ronaldo hakustahili,2017 pia Ronaldo hakustahili maana modric alimzidi sehem nyingi ila yeye alikua kinara wa magoli tu.
Kwa Mimi namkubali Ronaldo ni mchezaji mpambanaji ila MESSI NI KIPAJI HALISI CHA MPIRA.
Messi hakuna play maker hatari duniani nilowahi kumuona katika kizazi hiki.
Messi ukitaka akuchezeshee timu anakuchezeshea,ukitaka akufungie magoli anakufungia hata ukitaka awe winger anacheza na hilo alilithibitisha kipindi Cha Valverde.
Ila Ronaldo tofauti na striker na winger hakuna kingine anachoweza kukupa.
Kuwa kinara wa magoli ukiwa kiungo SI kitu chepesi kaka.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni huyu kiumbe bhana kabarikiwa kipaji Cha mpira.
Ndio maana Mourinho anakwambia "Messi ni kama porn video mbele za watu haumkubali ila ukiwa chonjo unazitazama".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…