Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ulisikia wapi na lini CR7 alilalamikiwa kubeba tuzo za Ballon D' Or hata 1 tu? Sana sana Messi tuzo alizobeba kihalali ni 5 ila 3 zote kalalamikiwa hadi zingine anajistukia kukabidhiwa akidai wapinzani wake ndiyo walikuwa wanastahili hizo tuzo.Unajua lakini jinsi mshindi wa Balon d'Or anavyapatikana?
Kama una amini ni biashara,kwanini hiyo biashara wasifanye na CR7?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app