Hizo hadithi za kuwapa posho ni za kubumba na ingekua hivyo Morinho,Di Matheo wasingefukuzwa Chelsea kwa heshima walizoletaKweli fadhila mfadhili mbuzi huyo Zahera alibembeleza wachezaji akawapa na posho wasigome mmemtimua laana yake itawatafuna sana
Mbona mlikuwa on the right track and direction.Kama nawaona mlivyoshangilia.
Hamna kitu kama hicho bana Mtani. Yanga ni timu kubwa bwana haipaswi kuwa na matokeo tia maji tia maji kiasi kile.
Samata huyo. Wameshinda ngapi?Hahahaaa mshambuliaji wa zamani wa simba usiku wa Jana kafunga goli uwanja wa an field, kawafunga mabingwa wa ulaya na vinara wa ligi kuu ya uingireza.
Jana alimchambua beki bora wa dunia kwa sasa Virgil kama sambusa
Mtani sio kweli bana. Unaeza niambia mechi moja tu ambayo tumecheza poa toka Ligi Kuu ianze msimu huu?Mbona mlikuwa on the right track and direction.
Kiukweli zahera kaonewa timu bado mpya ile. Ilibidi apewe mda.
Tatizo Tanzania tunapenda shortcut sana
Tena alivyouleta jana asubuhi ulikuwa tetesi yaani hata kabla haijathibitishwa tayari mikia habari wanazo.
Baadae mods ndio wakaedit huo uzi. Ila ndio tujue wanatufuatilia sana aisee.
Hamna cha kupenda Shortcut bana Mtani.Mbona mlikuwa on the right track and direction.
Kiukweli zahera kaonewa timu bado mpya ile. Ilibidi apewe mda.
Tatizo Tanzania tunapenda shortcut sana
Genk ilifungwa 2_1Samata huyo. Wameshinda ngapi?
Ningekuwa home hiyo mechi ningeicheki baadae kwani huwa wanairudia mchana mchana ila ndio naenda kupambana na hali yangu saa hii.
Duuh! Samata ni balaa Virgil hatomsahau. π€£
Kawaida sana hiyo, make lazima amfuatilie Mme wake.
Hahahaa. Haya bana Mtani.Genk ilifungwa 2_1
Mpaka half time walienda 1_1.
Sisi hatujali Genk kufungwa
Tunachojali ni goli la samagoal.
Mtani nchi anayotokea ndio inamuangusha! Lakini samagoal anakipiga vizuri kabisa EPL
π€£π€£ Kila alipo na yeye yupo. SaafiMke lazima amfuatilie Mme wake
Papaaa alikuwa mtu wa mikakati kauza makambo kapiga pesa,alimuandaa moringa amuuze mmemfukuza,mshahara haukuwa issue kivile alisoma gap sanaHizo hadithi za kuwapa posho ni za kubumba na ingekua hivyo Morinho,Di Matheo wasingefukuzwa Chelsea kwa heshima walizoleta
Sasa kama pale kwa mwanitesa utdHahahaa. Haya bana Mtani.
Azidi kukaza buti kwani vile vilabu vikubwa kabisa vya EPL Man City, Man U, Liverpool na nyinginezo kubwa bado hajafikia kucheza huko. Labda vile vinavyoshika mikia ndio anaeza. ππππββοΈ
Mimi ostazi uchebe sitaki simba wamfukuze.Hamna cha kupenda Shortcut bana Mtani.
Tumefuata matakwa yake kusajili Kikosi ambacho kwake alikiona bora hivyo tulihitaji matokeo mazuri pia Mtani.
KalyeeeeePedee umupulusi veve Gutigunyoo!!!!!!
Hahahaaa. Hivyo atakaa siku zote ee?Mimi ostazi uchebe sitaki simba wamfukuze.
Mtu kama yule kaishajua falsafa ya simba, kajua simba inataka nini.
Et avuruge mechi mbili tatu waseme uchebe out.
Muwe na uvumilivu mbona wa kwetu hatukumtimuaAtajuwa tu Mtani nini ataambia watu. π€£
Kwa kuwa ishatokea hakuna jinsi Mtani. Tumuwache aende.Muwe na uvumilivu mbona wa kwetu hatukumtimua
Huyu naye aliwahi kukimbia kwa kujiuzulu wenyewe.Amepewa Charles Boniface Mkwasa "Master"