mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mkuu source ya taarifa yako??? Au umemkopi bin kazumari??? Toa credit kwake basiUtaratibu wa CAF ni kuingiza majina upya kila mwaka hata ukikaa miaka kumi.
Nabi alikuwa Kocha wa Al Merreikh na alishiriki michuano ya CAF
Hapo ni uongozi kuchelewa, sawa?
Absolutely mzeee... Hawa mikia naona wanatapata kama MFA majiHii taarifa ya uongo tu
Na najua imetoka kwa binti kazumari
Hii taarifa haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance story ya Juma Mgunda! Nothing more.
Kabla ya kuja Yanga, kocha Nabi ameshafundisha vilabu kadhaa vikubwa Afrika! Huko kote alikuwa anatumia leseni gani?
Ndugu yangu hawa jamaa hawakukosea kuitwa mbumbumbu,wanataka kubalance story..mwambie alete uthibitisho kama hajaja na brah brahexpand...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Unajuaje huenda ndo mimi mwenye BIN?
Mkuu mzee wa bwaksi acha kusumbuliwa na mambo mepesi kiasi hiki [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Simba guvu Moja[emoji123][emoji123]
Kocha gani mzuri zaidi ya Juma Mgunda?Muhimu vyeti anavyo hayo mengine hayana tatizo.
Ila Simba tumezingua sana, muhimu tutafute kocha mzuri mapema kabisa kabla mashindano hayajakolea.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hawa jamaa kipindi hiki wana hasira sana na wanataka kila jambo kulinganisha na Yanga.Nahisi Kuna mahusiano ya direct kati ya timu kukosa makombe na hasira/uongo/matusi/paniki Kwa mashabiki wake.. Hili naliona sana kwa washabiki wa Simba S.C humu jf
Mkuu ipokee hii taarifa kama Simba SC tulivyoipokea kwa Gomez da RosaNahisi Kuna mahusiano ya direct kati ya timu kukosa makombe na hasira/uongo/matusi/paniki Kwa mashabiki wake.. Hili naliona sana kwa washabiki wa Simba S.C humu jf
Pole sana, Utani wa Kishamba huo japo kuna watu wanakera sana humo, hawezi kusimamia hoja yake zaidi ya kutukana tu.Shaka ondoa mkuu.. Kuna mtu from nowhere kanitukana matusi makubwa makubwa Uzi fulani hivi.. nimefatilia Kwa kina kinajua kumbe ni shabiki wa [emoji881][emoji881][emoji881]
Haya mambo hayaitaji hasira wazee.. kuimba ni kupokezana tu
Simba guvu Moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Sitashangazwa na taarifa iyo mkuu maana najua Bin kazumari huwa anapenyezewa taarifa na mtu mmoja nyeti kutoka TFF so it won't be a surpriseMkuu ipokee hii taarifa kama Simba SC tulivyoipokea kwa Gomez da Rosa
Ni vitu vya kawaida mno, kuna timu si hapa Tanzania tu nayo imekumbana na kadhia hii.
[emoji16][emoji16][emoji16] Kocha wa Nkoma amekwenda kuongeza nguvu tu kwenye benchi la ufundi, anakuwa Kocha wa viungo kwa game ile.mtani kapeleka kocha wa wakina mama, meechi ya marudiano ataongeza na wachezaji kutoka timu ya kina mama apate kikosi kipana
Ndo jf ya Sasa iyo mkuu.. Hoja kizanzi kinachofata ni matusi ya nguoni. Tena kipindi hiki [emoji881][emoji881][emoji881] amekosa vikombe basi tunaishi Kwa hofu tele maana mashambulizi ya matusi ni mengi sana upande wetu...Pole sana, Utani wa Kishamba huo japo kuna watu wanakera sana humo, hawezi kusimamia hoja yake zaidi ya kutukana tu.
Yeye asisubiri kwani nani katika CAF? Mbona Gomez da Rosa yalimkutaTaarifa imeletwa na kolo ilimradi kubalance story. Nabi ana kila kitu na hakuna taarifa yoyote ya approval anayoisubiri kutoka CAF
Mbona mimi nimekosa vikombe lakini naona kawaida tu, hata Uzi wa Update hata tufungwe naendelea tu siachi.Ndo jf ya Sasa iyo mkuu.. Hoja kizanzi kinachofata ni matusi ya nguoni. Tena kipindi hiki [emoji881][emoji881][emoji881] amekosa vikombe basi tunaishi Kwa hofu tele maana mashambulizi ya matusi ni mengi sana upande wetu...