Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

Umeandika pumba ambazo hata nguruwe au bata hawezi kula

Sasa makocha wamekamilika vipi wakati kocha mkuu ni vyeti fake.
 
Kwahiyo huo uprofesa wake ni upi ?
 

Ha ha ha kinyonge sana. Usitukane mkunga na uzazi ungalipo utopolo nyie.
 
Hawa jamaa wanashangaza sana mkuu.. Yaani hata mwaka Jana Wakati tunapigwa na Rivers United prof Nabi ndio alikuwa kocha wetu na Mechi zote home and away alikuwepo.
Ww kweli ni chura la Jangwani CAF walitoa mabadiliko kuhusu kocha anayetakiwa kukaa kwenye benchi wakati nyinyi mlishafurumushwa hatua ya awali na Rivers United nje ndani
 
Ww kweli ni chura la Jangwani CAF walitoa mabadiliko kuhusu kocha anayetakiwa kukaa kwenye benchi wakati nyinyi mlishafurumushwa hatua ya awali na Rivers United nje ndani
Taarifa ilitoka kabla hata Yanga haikucheza mchezo wake wa awali. Yanga amecheza mechi yake tarehe 12 mwezi wa 9 taarifa imetoka kabla na Yanga haikuguswa.
 
Umesahau hata Mwenyekiti wetu mstaafu Mshindo Msolla naye tunaweza tu kumpa hilo jukumu! Yaani kiufupi Yanga imejaa wataalamu wa mpira.

Huwezi kulinganisha na wenzetu! Kila siku wanaajiri makocha wasio na sifa.
 
Yan kitumwe cheti cha kaze hadi awe aproval halafu cha nabi kichelewe kutumwa kama cha mgunda ambacho kilipatikana usiku usiku!mnajifariji makolo
 
Sasa akutwe na kashi kashi yanga walifika wapi msimu uliopita kwenye Caf champions league kumbuka agizo lilitoka wakati mashindano ya Caf champions league yanaendelea kwa hyo hata hyo nabi angeendelea next stage wangemsugulisha benchi vile vile mbona swala dogo hilo ila utopolo hamna uelewa wa kuchanganua mambo.
 
Mechi mbili dhidi ya Rivers United msimu uliopita Nabi hakuwepo Yanga??
Aisee hakuna kazi ngumu jamii forum kama kuwaelewesha mashabiki wa utopolo ni vilaza kweli agizo lilitoka wakati Caf champions league inandelea ndo hata Gomez mechi za mwanzoni alikaa ila alikuja kuzuiliwa baadae baada ya agizo kutoka wakati huo utopolo mshatolewa baada ya kupigwa nje ndani sasa hilo agizo mngelitekeleza wapi wakati mshatolewa tayari.
 
Ww kweli ni chura la Jangwani CAF walitoa mabadiliko kuhusu kocha anayetakiwa kukaa kwenye benchi wakati nyinyi mlishafurumushwa hatua ya awali na Rivers United nje ndani
Mkuu hakuna mashabiki vilaza kama wa yanga yaani wanabeba kila kitu anachoanzisha yule nguruwe pori hawachuji wala hawafikirii wanabeba kama lilivyo.
 
Msikurupuke nyie yanga iko timamu shida ya majirani wamerawaliwa na mwanamke
 
Ukipata post yangu moja inaongelea Hilo iweke hapa.
Kwahivyo hapa hukumaanisha kuwa hana vyeti, isipokuwa ulikuwa unaleta kejeli dhidi ya Simba SC kuonekana kuwa klabu inajua kuwa hata vyeti ila wanafanya siri, na Nkoma amekwenda kukaa benchini.

Usizime data hapa..!
 
Pitia post 110 usiwe mnakurupuka tu ovyo

Taarifa ya mabadiliko juu ya leseni ya makocha wanaotakiwa kuhusika katika michuano ya CAF interclub ilitolewa tarehe 10 mwezi wa 9. Kabla hata ya michuano kuanza. Yanga kacheza mechi yake ya kwanza dhidi ya rivers united baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…