Mi pia nimewaza kama wewe.Halafu mbona Yanga kama inaenda tu vizuri...Labda kama kuna lingine linamuondoa,ila sio uwezo.
Aliposema ligi kuu ya Tanzania haina ushindani maanake ilijifuta kazi, ilikuwa suala la mda tu.Hii instability wameitaka wao wenyewe viongozi,tuna timu bora ila kwenye maamuzi msimu huu tumechemka na hili litaharibu performance ya timu uwanjani.
Habari isiyo na chanzo ni uzishi per seKatika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga
Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike
Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans
Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Huna lolote wewe, acha KUJIKWEZA!Ipo siku nitajiweka wazi
Kwaiyo na Yanga ana undugu na Beilouzdad ni ndugu maana coach Saed Ramovic kaenda hukoKocha aliyeletwa na Singida Black Stars.Tukiwaambia Singida Black Stars ni academy ya Gongowazi muwe mnaeelewa.Ni two in one.
Hata hujaelewa kilichoandikwa.Rudi shule mjinga wewe.Singida Black Stars kabaki na kocha yupi kama sio tawi?Kwaiyo na Yanga ana undugu na Beilouzdad ni ndugu maana coach Saed Ramovic kaenda huko
Mpira ni biashara, umbumbumbu utawatoka lini
Mechi zote alichezesha Kayoko?Bila mbeleko za kayoko leo ungeandika hayo kisa tofauti point moja Wazee wa makunduchi?
Ni tawi la nini? Na yeye kavunja mkataba wake na singida kama Ramovich alivyovunja mkataba wake na yanga kwani shida nini? Ofa aliyopewa ndio inaongea ayo mengine ni upuuzi wenu tuHata hujaelewa kilichoandikwa.Rudi shule mjinga wewe.Singida Black Stars kabaki na kocha yupi kama sio tawi?
Wamevurugwa Umma wameweka UMMMA😂😂😂
Leta ushahidi wa kuvunja mkataba wake.Mmepeana kitawi.Amehamishiwa Main Office hakuna cha mkataba wala mavi.Ni tawi la nini? Na yeye kavunja mkataba wake na singida kama Ramovich alivyovunja mkataba wake na yanga kwani shida nini? Ofa aliyopewa ndio inaongea ayo mengine ni upuuzi wenu tu
Utopolo mwaka huu mtahangaika sana na makocha; hatimaye mtasajiri makocho wa ndondo cup, tumbafu wakubwa!Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga
Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike
Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans
Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Tukupe ushahidi wewe kama nani labda? Ata akiamishwa kwani Kuna shida? Kinachokusumbua wewe ni nini sikuelewi?Leta ushahidi wa kuvunja mkataba wake.Mmepeana kitawi.Amehamishiwa Main Office hakuna cha mkataba wala mavi.
Unajitia upofu lakini unajua ukweli.