Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Halafu mbona Yanga kama inaenda tu vizuri...Labda kama kuna lingine linamuondoa,ila sio uwezo.
Mi pia nimewaza kama wewe.
Timu zetu hizi zina mambo mengi yanayoendelea nje uwanja.
Unaweza kuhisi uwezo wa kocha kwa kuwa timu inacheza vizuri na kushinda, lakini ukijua siri ya ushindi toka kwa utawala wa club utagundua kumbe havina uhusiano na mipango ya kocha.
Kwakuwa tupo Tanzania acha tu tuende hivyo.
 
Hii instability wameitaka wao wenyewe viongozi,tuna timu bora ila kwenye maamuzi msimu huu tumechemka na hili litaharibu performance ya timu uwanjani.
Aliposema ligi kuu ya Tanzania haina ushindani maanake ilijifuta kazi, ilikuwa suala la mda tu.
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike

Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Habari isiyo na chanzo ni uzishi per se
 
Kama ni kweli basi Yanga walichokuwa wanakitafuta bila shaka wamekipata
 
Mshahara wa $40000/= kwa mwezi aliohaidiwa na belouzdad kwa mkataba mwaka mmoja na nusu Ramovich asingeweza kuchomoa ata kidogo na yanga asingeweza kumlipa mshahara huo tunamtakia Kila lenye heri!
 
Screenshot_20250204_223830_Instagram.jpg
 
Kocha aliyeletwa na Singida Black Stars.Tukiwaambia Singida Black Stars ni academy ya Gongowazi muwe mnaeelewa.Ni two in one.
 
Kwaiyo na Yanga ana undugu na Beilouzdad ni ndugu maana coach Saed Ramovic kaenda huko
Mpira ni biashara, umbumbumbu utawatoka lini
 
Hata hujaelewa kilichoandikwa.Rudi shule mjinga wewe.Singida Black Stars kabaki na kocha yupi kama sio tawi?
 
Ni tawi la nini? Na yeye kavunja mkataba wake na singida kama Ramovich alivyovunja mkataba wake na yanga kwani shida nini? Ofa aliyopewa ndio inaongea ayo mengine ni upuuzi wenu tu
 
Leta ushahidi wa kuvunja mkataba wake.Mmepeana kitawi.Amehamishiwa Main Office hakuna cha mkataba wala mavi.
Unajitia upofu lakini unajua ukweli.
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike

Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Utopolo mwaka huu mtahangaika sana na makocha; hatimaye mtasajiri makocho wa ndondo cup, tumbafu wakubwa!
 
Leta ushahidi wa kuvunja mkataba wake.Mmepeana kitawi.Amehamishiwa Main Office hakuna cha mkataba wala mavi.
Unajitia upofu lakini unajua ukweli.
Tukupe ushahidi wewe kama nani labda? Ata akiamishwa kwani Kuna shida? Kinachokusumbua wewe ni nini sikuelewi?
 
Back
Top Bottom