moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Mi pia nimewaza kama wewe.Halafu mbona Yanga kama inaenda tu vizuri...Labda kama kuna lingine linamuondoa,ila sio uwezo.
Timu zetu hizi zina mambo mengi yanayoendelea nje uwanja.
Unaweza kuhisi uwezo wa kocha kwa kuwa timu inacheza vizuri na kushinda, lakini ukijua siri ya ushindi toka kwa utawala wa club utagundua kumbe havina uhusiano na mipango ya kocha.
Kwakuwa tupo Tanzania acha tu tuende hivyo.