Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Guswa achiwa nenda uarabuni belouzdad... achana na yanga matajiri domodomo......
 
Nasikia Rage alisema Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbuu!! Kweli eti??
Kuna yule kocha anayewadai yanga akasema mashabiki wote wa yanga, ukiwepo na wewe, wote hamna akili.... Ni mbwa, sokwe na nyani... Ipo YouTube anaitwa Luke eymail.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kama ni kweli basi jamaa atakuwa ana bahati lakini hamna kocha mule!!
Ha haaa 🤣🤣
Niwe mkweli jamaa sijamkubali soka lake hasa kwenye Sanaa ya ulinzi, linaruhusu kusalimiwa golikipa wake kila wanapo shambuliwa kwa counterattack.
Lile soka la Jurgen Klopp wa Dortmund au Liverpool yake ya miaka miwili ya mwanzo akiwa Liverpool.
Piga nikupige tupishane idadi ya magoli tu.
Klopp alibadilika Liverpool lakini sioni Saed Ramovich akibadilika karibuni.
 
Nasikia Rage alisema Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbuu!! Kweli eti??
Ni kweli hao ni mbumbumbu
Rage aliwaita mbumbumbu Wanachama wa Simba pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay, na wala haijawahi kukanusha wala kuomba radhi, Kwa maana hiyo hawa ni mbumbumbu
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Na atatumia mchezo wa Kesho kuaga mashabiki wa Yanga

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Gusa, ishia makundi, twende airport.
 
Kwa hiyo mnatuiga?

Tukisema Simba ndio role model wa vilabu vyote hapa Tz tutakuwa tunakosea?
Kocha kuondoka sio ajabu na Wala sio jambo la kushangaa ndio maana Simba alibadilisha makocha karibu 5 ndani ya msimu Mmoja,,ivyo akuna anayemuiga mtu ni utaratibu uliopo Dunia nzima
 
Ha haaa 🤣🤣
Niwe mkweli jamaa sijamkubali soka lake hasa kwenye Sanaa ya ulinzi, linaruhusu kusalimiwa golikipa wake kila wanapo shambuliwa kwa counterattack.
Lile soka la Jurgen Klopp wa Dortmund au Liverpool yake ya miaka miwili ya mwanzo akiwa Liverpool.
Piga nikupigie tupishane idadi ya magoli tu.
Klopp alibadilika Liverpool lakini sioni Saed Ramovich akibadilika karibuni.
Kinachonikera mpira wa Bongo ushabiki mwingi..,mwanetu Ali Kamwe akaja na Gusa achia twende kwao kumbe hamna kila kitu😂 tunafosi huu msemo lakini sijaona Yanga hiyo!
 
Kivipi amna kocha? Leta sababu za msingi zinazokufanya uone amna kocha,,
Unataka upewe sababu wakati majibu umeshapata kwa kumvunjia mkataba!! Angekuwa mzuri Yanga wasingekubali aondoke!
 
Yanga ni kubwa kuliko Simba, hatuwezi iga vijana waliotoka ubavuni mwetu!!

Role model kwa kucheza na waamuzi?
Ukongwe sio ukubwa

Na huo ukongwe wa kiumri sio wa gap hilo ambalo mnaliongelea kiukubwa.

Ku-share sare na CCM kusiwapumbaze mkajiona ni mataita wakati background records zipo zinaonesha hata kuanza kuvaa viatu mlianza miaka ya 90
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Na atatumia mchezo wa Kesho kuaga mashabiki wa Yanga

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
Mnaye huyo mpaka Hersi aamuwe!
 
Back
Top Bottom