huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapetoSimba ilipopigwa 5 mlisema mengine. Siyo nyie mliosema sjmba ni underdog. Msimu huu ulipoanza mlisema al ahly ndiyo timu bora Afrika, simba hawaezi kufika mbali na kwamba As vita na Al ahly ndiyo vinara wa kundi. Leo mmebadilisha kauli, eti wamekutana wagonjwa watupu.
Al ahly jmetoka kucheza na Bayern na wote tuliona kiwango chake. Bado hamtaki kukubali kwamba Simba is no longer an undedog in this group.
Jifunzeni kupongeza, utopolo ni wachumba wetu harusi soon itafungwa.
Acha unaa we jamaa mbona madhara ya corona huwa hatuyaoni ikienda kucheza taifa stars? Kubali ukatae simba is a giant team. Tatizo lenu utopolo mmepiga ramli weeee ila holaaaa sasa kwa taarifa yenu huu ubingwa wa Africa msimu huu tunabeba, just mark my word.hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Wako kundi J wako na team kamaNyie utopolo mpo kundi gani?
Hivi yanga anaweza akacheza na vital na akashinda kweli? Ama umekuja hapa kutoa uharo kishabiki?hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
usijali utaikuta deportivo la utopolo huko ndiyo nafaka bora iko 8 bora za afrikaHizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
wataalamu hao toka ,mechi ya kwanza na palteau wanajua kishenzi kuchambua tuko nao tu wavumilie hadi siku ya fainali kombe liko kwa mkapa pale anakabidhi mama samia siku hiyo itabidi jeshi la wananchi chini ya mabeyo liingilie kati maana wana vyura wanaweza kuteka nchi kwa stress
Huyo mrundi mwenzako anakir kuwa kafungwa na timu bora kwa ss na nikweli kwa Africa Mashariki ndio timu bora ww nani unakataaniteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
Yaaani wewe Utopolo unaibeza El merrek serious, kweli utopolo mnawaza kama manyani. El merrek ambayo hata viwango vya CAF ilikua juu ya simba? Acheni kuonesha ujinga wenu kwenye jukwaa kubwa kama ilihahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Majinga ya utopolo utayajua tuhahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Endelea kuteseka na Kg 800 zenuhahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Kwa hiyo al ahly hana maajabu ila Utopolo ndo mnaamaajabu .....Ila sikatai maana mwiko nyuma bado hamjautoa ndo maana ni wabishii ww timu bora africa unaiita haina maajabu ambapo ww hata kufika nusu fainal hujawahi tangu utopolo wenu uanze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapeto
Najua unafraha kuona nafasi sasa imekuwa nyeupe kwako mwakani wenye akili wako wanaushukuru Simba angalau nanyi mnaenda kupanda ndege japo sina uhakika Kama mtaweza kisa nauliniteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
Pole Mkuu, naona unailazimisha furaha.hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo
huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
We nyani wa kibera tulianiteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
Tukukumbusha ,ikiisha Robo ,utasema Nusu,ikiisha Nusu ,utasema Fainali,ikiisha Fainali,utasema klabu BINGWA ya Dunia,mtaamisha magoli tuHizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.