Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

Simba ilipopigwa 5 mlisema mengine. Siyo nyie mliosema sjmba ni underdog. Msimu huu ulipoanza mlisema al ahly ndiyo timu bora Afrika, simba hawaezi kufika mbali na kwamba As vita na Al ahly ndiyo vinara wa kundi. Leo mmebadilisha kauli, eti wamekutana wagonjwa watupu.

Al ahly jmetoka kucheza na Bayern na wote tuliona kiwango chake. Bado hamtaki kukubali kwamba Simba is no longer an undedog in this group.

Jifunzeni kupongeza, utopolo ni wachumba wetu harusi soon itafungwa.
huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapeto
 
Kabla sija comment naomba nim quote kocha wa AS Vita bwana Ibenge "We had preparation on this game but we found that Simba is stronger than us, we played against best team in Africa and I wish them all the best" sasa mimi ni nani nipingane na professional coach.
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo

huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Acha unaa we jamaa mbona madhara ya corona huwa hatuyaoni ikienda kucheza taifa stars? Kubali ukatae simba is a giant team. Tatizo lenu utopolo mmepiga ramli weeee ila holaaaa sasa kwa taarifa yenu huu ubingwa wa Africa msimu huu tunabeba, just mark my word.
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo

huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Hivi yanga anaweza akacheza na vital na akashinda kweli? Ama umekuja hapa kutoa uharo kishabiki?
 
Utopolo nakuona unachambua [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
wataalamu hao toka ,mechi ya kwanza na palteau wanajua kishenzi kuchambua tuko nao tu wavumilie hadi siku ya fainali kombe liko kwa mkapa pale anakabidhi mama samia siku hiyo itabidi jeshi la wananchi chini ya mabeyo liingilie kati maana wana vyura wanaweza kuteka nchi kwa stress
 
niteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
Huyo mrundi mwenzako anakir kuwa kafungwa na timu bora kwa ss na nikweli kwa Africa Mashariki ndio timu bora ww nani unakataa
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo

huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Yaaani wewe Utopolo unaibeza El merrek serious, kweli utopolo mnawaza kama manyani. El merrek ambayo hata viwango vya CAF ilikua juu ya simba? Acheni kuonesha ujinga wenu kwenye jukwaa kubwa kama ili
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo

huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Majinga ya utopolo utayajua tu
 
Endelea kuteseka na Kg 800 zenu
 
huyo AL AHLY ana maajabu gani ka draw na vita na el mereik hana lolote la maana hadi umpambe ivo hili kundi walikutana sunche na kapeto
Kwa hiyo al ahly hana maajabu ila Utopolo ndo mnaamaajabu .....Ila sikatai maana mwiko nyuma bado hamjautoa ndo maana ni wabishii ww timu bora africa unaiita haina maajabu ambapo ww hata kufika nusu fainal hujawahi tangu utopolo wenu uanze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
niteseke mimi ama anateseka huyo mrundi kwa kuwa na timu mbovu kafungwa na mbovu mwenzake
Najua unafraha kuona nafasi sasa imekuwa nyeupe kwako mwakani wenye akili wako wanaushukuru Simba angalau nanyi mnaenda kupanda ndege japo sina uhakika Kama mtaweza kisa nauli
 
hahahaha timu bora hahahaha hili kundi walikutana walemavu watupu (hawa wengine madhara ya korona yamewafanya kuwa walemavu) huyu nyau ni vile Tz haijapatwa na madhara hayo sana kama tu al ahly ana draw tena kwa kuchoa kwa el merrek kuna timu hapo

huyu AS vital tangu mechi ya kwanza ana chechemea leo kocha anasema ujinga gani? hili kundi walikutana wapumbavu watupu
Pole Mkuu, naona unailazimisha furaha.
 
Hizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
Tukukumbusha ,ikiisha Robo ,utasema Nusu,ikiisha Nusu ,utasema Fainali,ikiisha Fainali,utasema klabu BINGWA ya Dunia,mtaamisha magoli tu
 
Back
Top Bottom