Unatafuta pa kupozea machungu, kama unaushahidi peleka kwa wahusika akamatwe pia.Unga alikua anauza Manji kipindi anailea Yanga mbona hamkuja juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta pa kupozea machungu, kama unaushahidi peleka kwa wahusika akamatwe pia.Unga alikua anauza Manji kipindi anailea Yanga mbona hamkuja juu
Mzamiru nasikia ndio Punda mkuu ndio maana anaitwa kiungo PundaMkifatiliwa vizuri hata GSm ni dealer wa hii kitu
Aiseemoja ya biashara chafu zinazofanyika kwenye mpira wa miguu ni HII BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA(DRUGS), YA PILI NI HUMAN TRAFFICKING, YA TATU NI GAMBLING, YA NNE NI MONEY LAUNDERING, YA TANO NI MATCH FIXING.. NOTE: Hii biashara ya tano vilabu vyote vya kibongo inaitumia japo inategemea na mfuko wa timu husika ilikuwa Uto msimu wote uliopita wamekuja kuacha kuanzia mechi ya Kagera..
Hii ndio jF mkuu kila mtu anamaisha mazuri apa hakuna fukara [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mshahara 6 Mil na bado maisha yako ya tabu? Wazee nyie mnaishi Mykonos, Malaysia au hii hii TZ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtandao ni mkubwa uyo aliyekamatwa ni kidagaa tu kuna watu matajiri tanzania hii wanaviwanda na makampuni makubwa biashara hii ndio imewatoa na bado wanaendelea kuifanya izo zingine ni vihini macho tu ukipewa story zao utasikia eti walianza kushona viatu na leo hii mabilionea[emoji16][emoji16]Yaani mtu anaangalia upande mmoja wa kupata Utajiri tu kupitia Madawa ya Kulevya ila haangalii hasara anayoitengeneza kwa Taifa kwa Kuzalisha Wateja.
Hii Vita inahitaji watu wenye maamuzi magumu kama JPM kuweza kuufyeka Mtandao.
Mungu asaidie kuponya Vizazi vyetu
Ni gsm au ni Mo aliyemuajiri huyu muuza unga hapo simba???Mkifatiliwa vizuri hata GSm ni dealer wa hii kitu
Nchi ngum Sana mkuu, tunakua tuned Kama radio chezea2 days tutaliongelea hili na kusahau kabisa shida ya maji jijini Dar es salaam na issue ya precission air.
Ndiyo hivyo, unazani kama huna uzoefu unaweza beba hayo mavitu, watatoana tu ndani, watasubili upepo upiteHakufata maelekezo ya Mo ndiyomaana kadakwa kirahisi.
Mkuu masikini nimebaki mimi peke anguHii ndio jF mkuu kila mtu anamaisha mazuri apa hakuna fukara [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani naye alikamatwa kama huyo?Unga alikua anauza Manji kipindi anailea Yanga mbona hamkuja juu
Duha ya kuku aimpati mwewe ...utaanza kudumbukia wewe kwenye ilo ziwa la motoHahahhaahha hahaha pale mihogo inaposagwa na kupatikana unga. Upi unafaida? Ila wauza unga na wabeba unga wote watupwe ziwa la moto
Simba nguvu moya daima. Nasema tuuu mkiamua kuchunguza zile kanzu zile zimeficha mengi
Heeeee makubwa.Duha ya kuku aimpati mwewe ...utaanza kudumbukia wewe kwenye ilo ziwa la moto