Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

Exactly
 
TIN ni namba ya kulipia KODI mpaka pale utakapofanya MIAMALA... Digital Currency nayo mbioni, mbona kazi ipo.
 
utataka tu maana kodi tayari - TIN number si hiari tena ni lazima kila mtanzania mwenye 18 awe nayo. Hukawii kufika kwenye huduma yoyote wakakuomba TIN number kwanza !! πŸ™‚πŸ™‚
 

Wengine hawaelewi ninachoongelea mkuu,18 ni mtoto moja, mbili kuandaa mlipaji kodi wa badae ni upuuzi. nani anajua Rais mwingine atakuja na Policies zake na kazi kwa vijana hawa itakua hamna kabisa😁😁😁😁, hayo madude watakaa nayo yawasaidie nini?
 
Usikute huu ni mpango-mkakati wa ma- CCM kurudisha ile kodi ya kichwa kwa watu wote wanao anzia miaka 18!
 
utataka tu maana kodi tayari - TIN number si hiari tena ni lazima kila mtanzania mwenye 18 awe nayo. Hukawii kufika kwenye huduma yoyote wakakuomba TIN number kwanza !! πŸ™‚πŸ™‚

Mkuu nipe kazi basi,lol
 
Siyo kila mwenye miaka 18 yupo kidato Cha nne!!..na wanesema mwenye kipato,mna shida gani vichwani!!?
mwenye shida kichwani ni wewe. Tanzania ya leo over 90% ya watoto wanaomaliza darasa la saba wanamwagwa katika shule za secondary za kata wakiwa na miaka 14 au 15. come 18 bado wako secondary..

Hao unaosema wana miaka 18 na wana kipato ni watoto wako au wadogo zako? Jifunze kushughulisha ubongo wako
 
Turudi kwenye takwimu tuone vijana umri huo ni wangapi Tanzania,ili tuamini kweli wote wapo sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…