Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Huyu mama yenu si alikuwa anajitapa kwamba anaheshimu mahakama pamoja na Demokrasia?

Ngoja tuone.
Hahahaha mtaona rangi zake timamu nendeni huko mahakamani na mlete mrejesho!😅😅😅

Kama hatujaskia hakimu ametupia mbali shauri hilo la kimahakama maana halina mantiki 😂
 
hapo tayari umesha changia mwanao au mtoto wa ndugu yako akapate elimu bora, pia umesaidia ndugu yako popote alipo apate huduma bora hospitalini.
usijutie makato hayo, utafurahia huduma za afya, elimu na barabara.
mjenga nchi ni mwananchi, tujenge nchi yetu.
 
watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
 
HAPANA, sio kwa kodi za kitapeli.

Tuko tayari kulipa kodi zote stahiki lakini sio kodi za dhuluma zisizofuata kanuni za kiuchumi.

Huwezi ukalipa kodi tatu kwenye muamala mmoja! Hakunaga uchumi wa aina hiyo!
 
Tz ni nchi ya wapumbavu kama huu uhuni tumekaa kimya basi tunashida sana
 
Wata sema hawata weza ingilia mhimili mwingine. Tefer records.....
 
Wanasheria wetu wamesinzia sana wanatakiwa waamke sasa!

Huwezi kuta huu ujinga Kenya
 
Hio kesi unafungua mahakama ya nchi gani? Miga?
 
watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.

wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…