Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja au Wawili wasiponunua, wote mnalala giza.Kwa nini uweke mita kila chumba wakati kuna sub meters ambazo zenyewe zinasoma kutoka kwenye mita kuu?
K*ma ww.....Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Achana nae hajui kitu huyo!mmoja au Wawili wasiponunua, wote mnalala giza.
Bila shaka n yule lofa mmoja ajulikanaye Kama madelu,!natamani nimjue aliyetoa ilo wazo
Naomba kujibuView attachment 1897744
Naomba kuuliza maswali machache...
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?.....
Hata Kama Ni kutafuta noti kwa nguvu sio hvyo!
Naomba kuuliza maswali machache...
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?...
Hizo hela kuna watu walikuwa wananufaika nazo sema Magu alikata huo mrija ina maana ni kama maboss wamejirudishia system yao ya kupiga hela 😂!!! Tuna nchi ya ajabu sanaMbaya zaidi wameongeza hiyo Kodi kutoka 10k Hadi 12k
Huyu bibi hakuna anachojua
Yaani nashangaa mtu anapopinga kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi yake mwenyewe.Kama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Serikali inapiga ndege wawili kwa jiwe moja. Kwanza, kupunguza kusukumana na watu katika kulipa kodi ya majengo. Pia ukusanyaji wake hautakuwa na gharama kubwa. Asante tekinolojia ya mawasiliano.Sisiemu wanaturudisha nyuma mpangaji anabeba kodi ya mwenye jengo
Hii ni hatari sana. Akili za watawala sasa zinakaribia kufika mwisho wa kufikiri!
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?...
Lengo lao lilikuwa kujikwamua kulipia mighorofa wanayoipangisha na kututwisha sisi mzigo, Mwigulu na wenzake wao umeme wanalipiwa na serikali hivyo kodi haitawahusu kwenye LUKU, kuna watumishi wa vyeo vya juu wanaolipiwa umeme nao pia hawatshusika japo wanamijengo wanapangisha! Hii haikubaliki.
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?...
Hakuna namna, acha tulipe tu, ukiona giza linazidi ujue panakaribia kucha😊Wenzako wanagugumia, wewe ndiyo unashangilia?😁
Hii kitu ni mwigulu nchemba written all over it. Yule jamaa MUNGU amfunike na mabawa ya malaika wake asione tena nafasi za uongozi abakie tu kuwa mwanachama mfu wa ccm.natamani nimjue aliyetoa ilo wazo
wapo lumumba wana tafutia jina kodi yako na njia ya kulipia!Hii ina maana kuanzia kesho, na itakuwa ni kwa wale wenye majengo tu au hata ukiwa na kiwanja chenye hati unachangia?