G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Nchi gani ilishafanyika hiyo, tofauti na wao kuwa waangalizi tu? Kma nchi jirani ambko ndiko kumeshanuka zaidi lkn hakuna aliyewahi kuingilia, hapa kwetu kuna nini cha ajabu ambcho hakijawahi kutokea tena mara kumi zaidi ya huko lkn hawakuhusika kusimamia badala yake wakawa observers. ...nadhani UCHAGUZI wa 2020 usimamiwe na UMOJA WA MATAIFA, pamoja na JUMUIYA YA MADOLA.
A big joke..hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
..DAMU imeshamwagika.
..watu wamepata VILEMA.
..wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
..Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
..Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
..Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
Siku hizi kila nyuzi zinazoanzishwa hppa ni za kujipa matumaini kweli upinzani umeisha.Wewe mzee JokaKuu umeanza kuchanganyikiwa, hawana muda mchafu hao wa kuanza kusuluhisha “kujiliza” kwenu. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa wala dalili ya mgogoro wa kisiasa. Rafiki wa CDM Kenyata huku akipewa sifa kede kede na CDM ameua zaidi ya watu 100. Hakuna aliyemgusa wala atakayemgusa.
Hizi kelele zote mwisho ni 2020, mkishashindwa ubunge mtakuwa kama NCCR Mageuzi, na CCM walivyo na fitna wataanza kukipa promo chama kingine cha upinzani. Nyie wazee wa CDM ni wanafiki sana, saivi mnajaribu kila njia kuleta hali ya taharuki, uzuri wa JPM hacheki na kima, ukifanya upuuzi anakutandika nyundo tu.
Umenena ukweliHivi inakuwaje thread ya kufikirika kama hii mods wanaiachia hata kwa sekunde mbili hapa jukwaani??
vitu vya aina hii vinaishushia hadhi jf!!.
Hukumuona juzi akiwa obsevera wa AU kwenye uchaguzi wa Kenya mkuu? mzima wa afya kabisa.Hivi Thabo Mbeki yupo hai? Sina uhakika, sijui naota!?
LOL YER RIGHT..nadhani UCHAGUZI wa 2020 usimamiwe na UMOJA WA MATAIFA, pamoja na JUMUIYA YA MADOLA.
Nchi gani ilishafanyika hiyo, tofauti na wao kuwa waangalizi tu? Kma nchi jirani ambko ndiko kumeshanuka zaidi lkn hakuna aliyewahi kuingilia, hapa kwetu kuna nini cha ajabu ambcho hakijawahi kutokea tena mara kumi zaidi ya huko lkn hawakuhusika kusimamia badala yake wakawa observers. .
Tuiombe IEBC ya Kenya. Ile iliyompa mshikaji wetu Kenyata Ushindi..nadhani UCHAGUZI wa 2020 usimamiwe na UMOJA WA MATAIFA, pamoja na JUMUIYA YA MADOLA.
Tuiombe IEBC ya Kenya. Ile iliyompa mshikaji wetu Kenyata Ushindi
Wewe mzee JokaKuu umeanza kuchanganyikiwa, hawana muda mchafu hao wa kuanza kusuluhisha “kujiliza” kwenu. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa wala dalili ya mgogoro wa kisiasa. Rafiki wa CDM Kenyata huku akipewa sifa kede kede na CDM ameua zaidi ya watu 100. Hakuna aliyemgusa wala atakayemgusa.
Hizi kelele zote mwisho ni 2020, mkishashindwa ubunge mtakuwa kama NCCR Mageuzi, na CCM walivyo na fitna wataanza kukipa promo chama kingine cha upinzani. Nyie wazee wa CDM ni wanafiki sana, saivi mnajaribu kila njia kuleta hali ya taharuki, uzuri wa JPM hacheki na kima, ukifanya upuuzi anakutandika nyundo tu.
Vyama vya siasa ndio shida.Si wewe pekee yako Mkuu bali Watanzania wengi tu ndiyo sababu hofu na taharuki kubwa nchini zinazidi kuongezeka.
tatizo gani hilo- be specifi. Shida kubwa sana kwenye siasa za Tanzania niwapinzani kuhamia ruling party, it appears watu wengi walipoenda opposition walitegemea mambo fulani fulani ambayo hawapati, they just forgot kuwa siasa za opposition ni sacrifice, na hii ndiyo inmaturity yenyewe ninayozunumza..hata kama tatizo ni hicho unachoita " immaturity of opposition parties" bado naamini kuna ulazima wa wasuluhishi kuja kututatulia mgogoro tulio nao.
..kuna tatizo ambalo tusipokuwa makini linaweza kutuletea madhara makubwa huko mbeleni. Sasa it is better kutafuta msaada kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Wale IEBC ndo wazuri...ha ha ha.
..hapana.
..labda tuazime wale Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Kenya.
..ktk Jumuiya ya Madola suala hilo linawezekana.
..kwa mfano, kuna kipindi Jaji Samatta, na Jaji Mfalila, walikwenda kusaidia mahakama ya Zimbabwe.
Nchi huru haijawahi kusimamiwa na watu wa nje kumchagua rais wake, itasimamiwa labda kipindi cha mpito ambcho hawana uhuru kamili wa kujiongoza lkn cyo taifa la miaka 55 kma tz ambpo vinatokea vitukio vidogo vidogo vya kisiasa kma sehemu zingine, kma mnataka hiyo labda tuji genocide wenyewe ili waje kutusimamia, lkn hata hiyo bado itakuwa ngumu, hata Rwanda baada ya mauaji yao ya kimbali walisimama wenyewe wale wakisuluhisha pande hasimu na siyo kusimamia chaguzi zao...hakuna ubaya wowote Tanzania tukiwa wa kwanza.
..after all Tz inapokea misaada ya kibajeti, ikiwemo fedha za kuendesha uchaguzi.
..kwa hiyo si vibaya UN na JUMUIYA YA MADOLA wakatusaidia ktk kusimamia uchaguzi ili mambo yaende vizuri na kusiwe na misuguano ktk mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.
Bora yakoTuiombe IEBC ya Kenya. Ile iliyompa mshikaji wetu Kenyata Ushindi
tatizo gani hilo- be specifi. Shida kubwa sana kwenye siasa za Tanzania niwapinzani kuhamia ruling party, it appears watu wengi walipoenda opposition walitegemea mambo fulani fulani ambayo hawapati, they just forgot kuwa siasa za opposition ni sacrifice, na hii ndiyo inmaturity yenyewe ninayozunumza
Nchi huru haijawahi kusimamiwa na watu wa nje kumchagua rais wake, itasimamiwa labda kipindi cha mpito ambcho hawana uhuru kamili wa kujiongoza lkn cyo taifa la miaka 55 kma tz ambpo vinatokea vitukio vidogo vidogo vya kisiasa kma sehemu zingine, kma mnataka hiyo labda tuji genocide wenyewe ili waje kutusimamia, lkn hata hiyo bado itakuwa ngumu, hata Rwanda baada ya mauaji yao ya kimbali walisimama wenyewe wale wakisuluhisha pande hasimu na siyo kusimamia chaguzi zao.
Of course sio wote lakini kwa bahati mbaya wasiofurahishwa hawana gut wala uwezo wa kuwaambia wale wanaofurahishwa; hususani Mwenyekiti kwamba "This's wrong na tunatakiwa kubadili hali! "..siamini kama ccm wote wanafurahishwa na mambo ya hovyo-hovyo yanayoendelea.
..kinachokosekana na ujasiri tu wa kuwekana sawa ktk chama chao.