Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

Uhuru hawezi fanya hivi kwani alishapandishwa kule ana akaponea chupu chupu, hivyo anaheshimu sana katiba, na huyu wakishampandisha kule atarudi na adabu,
 
Hakuna mgogoro ambao unahitaji msuluhishi toka nje.Sema jamaa wamemiss kwenda ikulu kunywa kahawa na juice
 
Yaani unachekesha sana mkuu. Wazee wazito hao badala ya wafaye mambo ya msingi wewe unataka waje kushughulikia upuuzi wa chadema? Mule hakuna chama cha siasa ila ni saccos tu ya kupiga hela. Kwenu nyie ni fujo, majungu, utapeli, ujinga, ubinafsi, uchochezi, na wizi. Lengo ni kukifuta hicho chama chenu na dalili utaziona. 2020 kama Mbowe, Lema, Nassari, Sugu, na wabunge wote wa upinzani Dar, Heche, Bulaya na Matiko wakirudi Bungeni njoo uhukue hii VX V8 yangu, bureeeeeeeeee.
 
Umpende kwani we mkewe??
vyeti feki utawajua tu, na bado...
 
Kwani kuna mgogoro katika vyama?
 
wasuluhishe nn?,tunataka tusuluhishwa nn?,chanzo cha hilo tatizo ni nini?.
unaposuluhishwa lazima utapoteza kitu ili upate kitu,je "wafalme" wetu watakuwa tayari kupoeza?
 
Ni hasara kubwa sana kwa Taifa

Eti unakubali pesa ya walipa kodi kutoka hazina ichotwe ili kutolewa kama rushwa na huyu dhalimu DU na huoni tatizo lolote lile!!!


 
Hivi bavicha mko idle sana naona mnatoa nyuzi zisizo na mashiko.

Msitake kusumbua wazee wa watu(wastaafu) kwa kukosa kwenu hoja na kushindwa siasa.

Kama mambo hayaendi huko KUHAMA ruska.

Tanzania kwanza.
 
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.
Mimi kwa kuzingatia hilo SITAKI USULUHISHI WA AINA YEYOTE NA WATU WA HOVYO KAMA HAWA , muda wenyewe utaamua .
 
Hivi bavicha mko idle sana naona mnatoa nyuzi zisizo na mashiko.

Msitake kusumbua wazee wa watu(wastaafu) kwa kukosa kwenu hoja na kushindwa siasa.

Kama mambo hayaendi huko KUHAMA ruska.

Tanzania kwanza.
Kuna siku utakuja kuomba radhi .
 

Kuna mgogoro wa vyama vya siasa Tanzania?
 
..sisi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo.

..ni kwa faida yetu sisi wenyewe.
Haiwezi fanyika, hakuna rais ambye yuko madarakani anayeweza kukubali kuingiliwa na chombo chchte toka nje
 
Sijui kwa nini nimekumbuka ule mlipuko wa Bomu ubalozi wa Marekani..au naota
 
Haiwezi fanyika, hakuna rais ambye yuko madarakani anayeweza kukubali kuingiliwa na chombo chchte toka nje

..ndugu yangu, tunapokea misaada ya kila aina.

..sioni kwanini tukatae kuomba msaada wa wasimamizi wa Uchaguzi.

..kwa maoni yangu kuna FAIDA kuliko hasara ikiwa uchaguzi wetu utasimamiwa na UN pamoja na JUMUIYA YA MADOLA.
 
Ni hasara kubwa sana kwa Taifa kuwa na wapumbavu kama wewe.

Eti unakubali pesa ya walipa kodi kutoka hazina ichotwe ili kutolewa kama rushwa na huyu dhalimu DU na huoni tatizo lolote lile!!!

Ile pesa aliyopewa Mbowe ili CCM wasimamishe mgombea kupitia chama chetu haikutoka kwenye kodi zetu?
Mbona kuna watu humu ndani yanaona sawa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…