Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

Umeongea kikubwa sana na kikomavu,
 
Yaani mwanamke akuropokee kwamba watoto sio wako halafu eti wazee wasuluhishe? Kwahiyo wazee wakishasuluhisha watoto wanakua wakwako sasa?
Yaan hapo kifupi hao watoto sio wako nanhuo ndio ukweli wenyewe mwanamke akiwa na kisirani huyaongea yaliyo sirini , siwezi kukubali usuluhishi kwenye jambo kama hilo kirahisi rahisi tuu
 
Maneno anayotamka mwanamke akiwa na hasira na fikra zake halisi!
Kwa sababu ya hasira anapoteza uwezo wa kujizuia!
 
KUPIGA NI KOSA KISHERIA.
Wengi wameua au wameuwawa kupitia ugomvi,kusababishiana ulemavu wa kudumu,na kadhalika.
Hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kumpiga mtu yeyote kwa sababu yoyote ile.
Watu wengine wamejikuta kwwnye kesi na kujikuta wanalipa gharama kubwa kama fidia au faini kutokana na kukosa kushindwa kuzuia hasira zao na kuwashambulia shambuliobla kimwili PHYSICAL VIOLENCE,EMOTIONAL VIOLENCE
Mara nyingi unapompiga mtu unatumia nguvu kumdhuru mwili na pia una muathiri kisaikolojia pia unamdhalilisha na kumnyanyasa na huo unaomfanyia ni UKATILI.GBV hasa mwanaume ukimshambilia mwanamke ni UKATILI WA KIJINSIA.
Sasa haya yote ni madhara hasi. YA UKATILI .
Haishauriwi sana kujichukulia sheria mkononi hata kama ni mke wako.Mimi naamini mtu mzima huwezi kumbadilisha au kumrekebisha tabia,hasa kwa kutumia nguvu mabavu.Ni bora kuachana kwa usalama na amani kama imefikia hatua ya kushindwa kuelewana kwa njia nyingine za amani.
 
Kwanza unastahili kufunzwa adabu kidogo… kupiga haisaiidii
 
Mi ikija kutokea hivyo kwangu. ........nafukuza wote sisamehi mtu hata aje nani hapa duniani.........maana limtokaro mtu kwa hasira huo ni ukweli kabisaaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…