Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

Sukuma gang, hamna jema, kila kitu chema kwenu kibaya tu dah, kuweni na shukurani.
Kwere Gang kwa uchawa, kusifu na kuabudu siwawezi, mkishayakoroga wananchi hawana umeme na maji, mi tozo kibao, madili n.k mnaanza kutunga.

Kesho ukiamka unakuta habari 'Tanzania yashika nafasi ya 3 Africa kwa utoaji bora wa huduma ya umeme na maji ' mpaka mtu unacheka tu... hivi hamuoni hata aibu
 
Mwanzo upi nchi ina miaka 61 toka uhuru mnajisifu kuuza nyama kombe la dunia, kuna mambo ya kujisifu huu mwingine ujinga tu.
Uuzaji nyama nje ni mwendelezo unaozidi kuimarika. Angelifanya ngongoseke wakati ule ndio ungeliona sawa.
 
Uuzaji nyama nje ni mwendelezo unaozidi kuimarika. Angelifanya ngongoseke wakati ule ndio ungeliona sawa.
Kipindi cha JPM alikuwa ana deal na miradi mikubwa katika miundo mbinu na huduma bora za kijamii, unakuja kunieleza nyama kwenda kuuzwa kombe la dunia, kombe la dunia limeisha hizo nyama zikibaki chomeni mle.
 
Niserikali ya Samia?au serikali ya Tanzania maana hapo sijaelewa au kuna nchi inaitwa Samia fafanua
 
Kipindi cha JPM alikuwa ana deal na miradi mikubwa katika miundo mbinu na huduma bora za kijamii, unakuja kunieleza nyama kwenda kuuzwa kombe la dunia, kombe la dunia limeisha hizo nyama zikibaki chomeni mle.
Punguza chuki na comparison zako za JPM. Kwani hapo Samia ndio katoa hiyo takwimu mpaka useme hadeal na miradi mikubwa ila nyama??

Kingine miradi Gani mikubwa hafanyi si ndio analeta mabehewa ya SGR, kuendeleza mradi wa Maji ya ziwa Victoria, Kujaza Maji Bwawa la Nyerere, mradi wa umeme wa upepo, Kinyerezi 3 inaenda kujengwa, haya amesimamia mazungumzo gesi ianze kuvunwa, madaraja yaliyojengwa kwa bei kubwa za kifisadi si yanazinduliwa Kila siku ila mnayakosoa.

Nadhani mambo ya miradi Kila Rais anafanya kulingana na mpango wa taifa unavyoelekeza Wala sio kwamba ni miradi ya JPM au ulikua ubunifu wake.

So hizi comparison acheni, mmejaa chuki tu watu wa JPM.
 
Kila siku habari Tanzania imekua ya 4 kufanya bla blah blah Africa, Tanzania inaongoza kwa bla blah barani Africa, uongo kila siku.

Katika serikali ya JPM nilielewa sana usimamizi wa rasilimali za Taifa, utekelezaji wa kasi katika miradi mbali mbali hasa mikubwa, utatuzi wa kero mbali mbali kwa wananchi, serikali ya JPM pia ilihubiri sana kuhusu uzalendo n.k

Mambo yamekua vice versa

Hakuna mtu mwenyye chuk
 
Acheni kuweka siasa kwenye kila kitu. That's market force, simply supply and demand.

Ikifika April, tutaomba data mpya ya mauzo baada ya kombe la dunia kuisha. I guarantee you mauzo yatashuka. Je utamlaumu Mama?

Acheni kutukuza ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…