Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Ilizoeleka kuona World Cup kukiwa na furaha tele. Huenda sasa hivi Kuna athari kama:
1. Fujo za Duniani zinazoathiri amani
2. Kuwa na majukumu binafsi ya kifamilia
3. Changamoto za kijamii na kisaikolojia
 
Dunia si sehemu ya amani tena …yaan unajiandaa kurukaruka na kupiga kelele unakumbuka nduguzo wanakufa gaza,palestina,sudan,congo nk… hujakaa sawa unakumbuka ukirudi South Afrika kimekuramba….hilo vibe litoke wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…