Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA na mashindano haya makubwa duniani.

Kwa ujumla hali hii aliiona Sepp Blatter ambapo hivi karibuni aliwahi kutamka hadharani mbele ya waandishi wa habari kuwa wanajuta kuipa Qatar uenyeji wa mashindano haya. Ni nini hasa kitakachotokea?

1. Hasara kwa makampuni wadhamini kushindwa kujitangaza kutokana na sheria zilizopo?
2. Mashindano kukosa mvuto?
3. FIFA kupoteza baadhi wa wadhamini na washirika wake wakubwa?
4. Mashindano haya kutopelekwa tena katika nchi za Kiarabu?

Karibu tuchangie mdau.

Madhara ya rushwa
 
Huu ni mwanzo na mwisho kwa watoto wa mamdogo Hajra kupewa uenyeji wa kombe la Dunia labda Dubai pekee wanaweza kufikiriwa
 
366D996D-FDA8-4A34-8C37-3C535CFDFB97.png
 
Back
Top Bottom