lakini mkuu kule wanaenda kucheki boli.kwahio wameona haina haja yakupoteza muda kuandaa sehem za wanywa pombe,walakitimoto namachoko wakati Hilo siolengo na wameona haina haja.Ushoga ni swala la faragha hakuna haja ya kujua mambo ya watu au wao watutangazie, pombe na kitimoto watu wawekewe sehemu zao ambazo wanaweza kutumia, is trick lakini ndio hivyo tena ukishaingiza mambo ya imani ni ngumu sana na ndio maana nchi nyingi hazitaki kuingiliano wa dini na sheria zake