Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

starehe mbona siko nyingi hapi mjin doha kwen lazima upinde, ila wahuni ni wengi izo sheria zao zitavunjwa sana
 
Ukila mdudu hadharani unachinjwa laiv bila chenga.
Si sheria zao? Mbona huko kwenu CCM wana haki ya kufanya mikutano ila Chadema ni nongwa tena wakisadiwa polisi? Heshimu utamaduni wa mtu ili uepuke matatizo.
Kama kuna kundi linataka kwenda kula nguruwe liandae tamasha la nyama choma na pombe hata hapo Coco beach, Sisi tutaangalia mpira kwa dkk 90.
 
Ila ushoga asili yake si ndio uko uko uarabuni au imekuaje tena..tehteh
 
kwamba pombe,kitimoto na uchoko viruhusiwe mkuu?
Ushoga ni swala la faragha hakuna haja ya kujua mambo ya watu au wao watutangazie, pombe na kitimoto watu wawekewe sehemu zao ambazo wanaweza kutumia, is trick lakini ndio hivyo tena ukishaingiza mambo ya imani ni ngumu sana na ndio maana nchi nyingi hazitaki kuingiliano wa dini na sheria zake
 
Back
Top Bottom