Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Ila ushoga asili yake si ndio uko uko uarabuni au imekuaje tena..tehteh
Hivi kumbe sodoma na gomora walikuwa waarabu wale? Halafu loti/luti kumbe alitumwa kwa waarabu akawakataze waache ushoga?

Na kama waarabu wanatokana na mtoto wa kwanza wa ibrahim na wakati loti/luti ametumwa kwa sodoma na gomora nadhani ismaili alikuwa hajazaliwa sasa hao sodoma na gomora walikuwa ni waarabu wa kwa mpalange au wa buza?
 
Dubai is a city, whereas Qatar is an independent nation.
UAE Kwa ujumla wake hakuna upumbavu Kama wa warabu wengine, hata Tunisia tu hapo unapata Malaya wa kupiga bila nongwa kabisa
 
Kwani waliomba kutangaza ushoga na kunywa pombe au waliomba kuandaa mashindano ya mpira wa miguu? Kama huwezi kuangalia mpira bila pombe au kutangaza ushoga acha
Wao wenyewe walijua nini maana ya mashindano hayo sasa kwa nini walliweka bid kama kweli wao ni watu wa dini?
 
Hivi kumbe sodoma na gomora walikuwa waarabu wale? Halafu loti/luti kumbe alitumwa kwa waarabu akawakataze waache ushoga?

Na kama waarabu wanatokana na mtoto wa kwanza wa ibrahim na wakati loti/luti ametumwa kwa sodoma na gomora nadhani ismaili alikuwa hajazaliwa sasa hao sodoma na gomora walikuwa ni waarabu wa kwa mpalange au wa buza?
Sodoma na Gomora zilipigwa mara mbili na 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unaelewa na wewe, Dubai hawana misimamo mikali ya dini Kama warabu wengine ndiyo maana unaona Kuna club na maeneo kibao ya starehe Dubai.
Kwahy ni sawa na kusema, mkoa umeruhusu hayo mambo ila nchi haijaruhusu.?
 
Uwe unaelewa na wewe, Dubai hawana misimamo mikali ya dini Kama warabu wengine ndiyo maana unaona Kuna club na maeneo kibao ya starehe Dubai.
Dubai ipi isiyo na misimamo ya mikali ya Dini? Umefika au umesimuliwa?
Ushoga
Usagaji
Pombe ni sehemu maalum tena kwa wageni kama ilivyo hapo QATAR tembeeni acheni kusimuliwa.
 
Kwani hao wakimbia nchi wote wanaotokea huko mbona wanakimbilia huko huko magharibi,, angalia hao wasomali na wahabeshi mbio zote USA wakati humo Qatar ni karibu tu wasiende.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nchi za kiarabu mbona zina wahamiaji wengi mno kutoka nchi zengine na pia zina wakimbizi wengi tu kutoka nchi za kiarabu zenye machafuko.
 
Huyu jamaa ni mwehu sana Kama warabu wanaona maisha kwao ni mazuri na kitakatifu basi wasililie kwenda ulaya wanapopaona pa mashoga wabaki arabuni.
Mwarabu anaenda ulaya wewe mmatumbi unaumia, huo ushoga wako baki nap tu
 
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA na mashindano haya makubwa duniani.

Kwa ujumla hali hii aliiona Sepp Blatter ambapo hivi karibuni aliwahi kutamka hadharani mbele ya waandishi wa habari kuwa wanajuta kuipa Qatar uenyeji wa mashindano haya. Ni nini hasa kitakachotokea?

1. Hasara kwa makampuni wadhamini kushindwa kujitangaza kutokana na sheria zilizopo?
2. Mashindano kukosa mvuto?
3. FIFA kupoteza baadhi wa wadhamini na washirika wake wakubwa?
4. Mashindano haya kutopelekwa tena katika nchi za Kiarabu?

Karibu tuchangie mdau.
Sheri zipi mkuu? Au wewe ni mfuasi wa upinde?
 
Back
Top Bottom