Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

Wao wenyewe walijua nini maana ya mashindano hayo sasa kwa nini walliweka bid kama kweli wao ni watu wa dini?
Kwani hiyo bid ilikuwa kutangaza ushoga na pombe au kucheza mpira? Na kuna sehemu dini yao imakataza kucheza mpira?
 
Ndio maana wengine hawataki kusoma kwa sababu wanahusisha pia elimu na ushetani matokeo yake wakiwa tena wachache kwenye ajira wanalalamika. Very hopeless indeed.
Msumari wa moto[emoji419][emoji375][emoji3548]
 
Kwenye umalaya na ushoga nipo pamoja na wavaa kobazi. Kitimoto na pombe wavaa kobazi wanatubagua.
Si ndio hawa?
20220825_063331.jpg
 
Epl wanadhaminiwa na pombe gani msimu huu? Kuna Sponsors makini kuliko pombe na mpira unapigwa na hela ipo.
Sasa kama mnaenda Qatar kunywa pombe anzisheni mashindano ya ulevi.
Supporters will be able to have a drink at any official World Cup site, including the fan parks. Those attending matches won't be allowed to purchase alcohol inside the stadiums in Qatar. Instead, only non-alcoholic beer and soft drinks will be served inside the grounds.
wala hawajakataliwa sehemu za kunywa zipo ni ndani ya viwanja hawaruhusiwi na ndani ya viwanja hata Tanzania haturuhusu hata uko ulaya hakuna shida yoyote basi kuna watu wanatafuta tu la kuongea.
 
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA na mashindano haya makubwa duniani.

Kwa ujumla hali hii aliiona Sepp Blatter ambapo hivi karibuni aliwahi kutamka hadharani mbele ya waandishi wa habari kuwa wanajuta kuipa Qatar uenyeji wa mashindano haya. Ni nini hasa kitakachotokea?

1. Hasara kwa makampuni wadhamini kushindwa kujitangaza kutokana na sheria zilizopo?
2. Mashindano kukosa mvuto?
3. FIFA kupoteza baadhi wa wadhamini na washirika wake wakubwa?
4. Mashindano haya kutopelekwa tena katika nchi za Kiarabu?

Karibu tuchangie mdau.
Waafrika mnaopenda kupokea kila maagizo ya nchi za kishoga mnatakiwa kujifunza kuwa na misimamo kama nchi hiyo ya kiarabu.
 
Kuna shida gani na picha hii? wameambia mashoga mje tu hakuna wa kuwazuia ila mnachotaka kiruhusiwe kwa sheria kwamba nchi itangaze ushoga ruksa kisheria wamekataa hata Tz mashoga wamejaa lakini sheria rasmi inakataza ila huko wanataka nchi ya Qatar ipitishe sheria kuwa hawa ushoga ni halali ndio maana wamesema hawawezi kubadili sheria zao na imani zao kwa sababu ya siku 28 za WC hii ndio shida.
 
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA na mashindano haya makubwa duniani.

Kwa ujumla hali hii aliiona Sepp Blatter ambapo hivi karibuni aliwahi kutamka hadharani mbele ya waandishi wa habari kuwa wanajuta kuipa Qatar uenyeji wa mashindano haya. Ni nini hasa kitakachotokea?

1. Hasara kwa makampuni wadhamini kushindwa kujitangaza kutokana na sheria zilizopo?
2. Mashindano kukosa mvuto?
3. FIFA kupoteza baadhi wa wadhamini na washirika wake wakubwa?
4. Mashindano haya kutopelekwa tena katika nchi za Kiarabu?

Karibu tuchangie mdau.
Unazunguka tu na sheria zilizotungwa huzisemi! Bila shaka kinachokatazwa hata wewe huna ujasiri wa kukisema maana yake dhamiri yako inakusuta!! Mambo ya LGBT (ushoga) mnayapendea nini?? Ni aibu mtu mzima kulalamika eti wanazuia ushoga au ulevi au ukahaba!1
 
Unaandaa mashindano unayojua fika nchi za ulaya watashiriki halafu unakataa pombe

Ushoga hilo nalipinga hata mimi.

Ila umalaya hata wenyewe wanafanya tuu
 
Back
Top Bottom