Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana.

Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa.

Afrika inarudishwa kwa wazungu tena.

Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs Argentina.

Kati ya huyo mmoja ila Argentina anaweza kufika na kuchukua kombe.

Kuna ujumbe mwingi na ishara na bado mpaka afrika na nchi zetu na inalengwa hii kwetu hipo ki mkakati mzuri hakuna watakapo kimbilia.
 

Attachments

  • Screenshot_20260617-075722.png
    198.6 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…