idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Dk 90
Yanga 2 - 0 BDF XI
Dk 3 zinaongezwa...
Shukrani kwa update mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 90
Yanga 2 - 0 BDF XI
Dk 3 zinaongezwa...
we Masuke unataka uungane na Bantu lady japo kwa mechi moja!!!sijui kama kaka yake Katavi analijua hili....Nilikwambia unishawishi niungane nawe japo kwa mechi moja lakini ulishindwa, nasupport BDF XI kwa sasa. Mkishinda nitawapongeza kwa dhati kabisa.
Hongereni Yebo yebo lakini bado mna kibarua kigumu ugenini.
acha kujitoa ufahamu wewe mbumbumbu ashindwe kuwa mikia tena mkiitwa na aliyekuwa mwenyekiti wenu mahaRAGE awe yanga?....tulieni mpakatwe na police moro hapo keshoManji na kijana mdogo Jerry Murro hawana makosa, makosa ni kuongoza watu wajinga, mambumbumbu wasiojua haki zao.
Kila maamuzi ya gabachori wao husema hewala tu.
Ni heri utukanwe ukitafuta haki yako kuliko kukaa kimya wakati ukitumikishwa kama mtumwa!
we Masuke unataka uungane na Bantu lady japo kwa mechi moja!!!sijui kama kaka yake Katavi analijua hili....
Manji ndio anawazingua yanga.
Mkuu kama uongozi wa Yanga ungekuwa na dhamira ya watu wake kuona mpira wangetangaza hiyo tenda na lazima vituo vya TV vingejitokeza na lazima wangefikia tu makubaliano. Ni kawaida ya viongozi wetu kufanya maamuzi kwa faida yao wenyewe lakini wangejali pia na mashabiki wao wangeuza hizo TV rights kwa reasonable price lazima wangepata tu wa kununua na bado watu wengine wangeenda uwanjani. Hakuna faida yoyote wanayoipata Yanga kwa mechi kutoonyeshwa na sana sana inasababisha usumbufu tu kwa watu wanaopenda mpira. Mpira ni biashara ndio sasa si ndo kama hiyo ya kuuza haki ya matangazo ya TV, miaka nenda rudi gate collections zipo na zitaendelea kuwepo lakini uwepo wa TV nyingi ndo ungekuwa upanuzi wa hii biashara ya mpira na sio kukomaa na tu na viingilio.Sasa utalazimisha mechi ioneshwe mradi ioneshwe watu waone hata kama hawajafikia muaka kimaslahi ww..nyinyi si ndo mnasemaga mpira ni biashara?
we Masuke unataka uungane na Bantu lady japo kwa mechi moja!!!sijui kama kaka yake Katavi analijua hili....
Hebu nikaribishe mimi nije kukupongeza kwa ushindi wa Yanga.
Hongereni Yebo yebo lakini bado mna kibarua kigumu ugenini.
Yaani hii game hata yanga washinde goli kumi, kwangu sitakuwa na furaha yoyote. Pesa za mlangoni ale manji mimi niishie kutega masikio kusikiliza redio??
Mkuu kama uongozi wa Yanga ungekuwa na dhamira ya watu wake kuona mpira wangetangaza hiyo tenda na lazima vituo vya TV vingejitokeza na lazima wangefikia tu makubaliano. Ni kawaida ya viongozi wetu kufanya maamuzi kwa faida yao wenyewe lakini wangejali pia na mashabiki wao wangeuza hizo TV rights kwa reasonable price lazima wangepata tu wa kununua na bado watu wengine wangeenda uwanjani. Hakuna faida yoyote wanayoipata Yanga kwa mechi kutoonyeshwa na sana sana inasababisha usumbufu tu kwa watu wanaopenda mpira. Mpira ni biashara ndio sasa si ndo kama hiyo ya kuuza haki ya matangazo ya TV, miaka nenda rudi gate collections zipo na zitaendelea kuwepo lakini uwepo wa TV nyingi ndo ungekuwa upanuzi wa hii biashara ya mpira na sio kukomaa na tu na viingilio.

Viongoz wa hiz timu zetu za Kulwa na Doto wanakera sana, wao wameweka mbele maslahi yao binafsi.
Mpira wa Kiutu Uzima upo kesho, leo wote wachovu tu. BDF yenyewe hata kwenye ramani ya soka la Afrika haisomeki, tuombe wapangwe na timu yenye kujua kabumbu tuone Yeboyebo wanavyopigwa 5 bila.