Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Nilikwambia unishawishi niungane nawe japo kwa mechi moja lakini ulishindwa, nasupport BDF XI kwa sasa. Mkishinda nitawapongeza kwa dhati kabisa.
we Masuke unataka uungane na Bantu lady japo kwa mechi moja!!!sijui kama kaka yake Katavi analijua hili....
 
Last edited by a moderator:
Kwaherini wadau wote...

Shukrani kwa kujumuika nami katika mtanange wa leo...

Sasa na-sign off...adios
 
Manji na kijana mdogo Jerry Murro hawana makosa, makosa ni kuongoza watu wajinga, mambumbumbu wasiojua haki zao.
Kila maamuzi ya gabachori wao husema hewala tu.
Ni heri utukanwe ukitafuta haki yako kuliko kukaa kimya wakati ukitumikishwa kama mtumwa!
acha kujitoa ufahamu wewe mbumbumbu ashindwe kuwa mikia tena mkiitwa na aliyekuwa mwenyekiti wenu mahaRAGE awe yanga?....tulieni mpakatwe na police moro hapo kesho
 
Sasa utalazimisha mechi ioneshwe mradi ioneshwe watu waone hata kama hawajafikia muaka kimaslahi ww..nyinyi si ndo mnasemaga mpira ni biashara?
Mkuu kama uongozi wa Yanga ungekuwa na dhamira ya watu wake kuona mpira wangetangaza hiyo tenda na lazima vituo vya TV vingejitokeza na lazima wangefikia tu makubaliano. Ni kawaida ya viongozi wetu kufanya maamuzi kwa faida yao wenyewe lakini wangejali pia na mashabiki wao wangeuza hizo TV rights kwa reasonable price lazima wangepata tu wa kununua na bado watu wengine wangeenda uwanjani. Hakuna faida yoyote wanayoipata Yanga kwa mechi kutoonyeshwa na sana sana inasababisha usumbufu tu kwa watu wanaopenda mpira. Mpira ni biashara ndio sasa si ndo kama hiyo ya kuuza haki ya matangazo ya TV, miaka nenda rudi gate collections zipo na zitaendelea kuwepo lakini uwepo wa TV nyingi ndo ungekuwa upanuzi wa hii biashara ya mpira na sio kukomaa na tu na viingilio.
 
yanga kwa nini hamna upendo? sisi utani wetu ni humu humu ndani. la kitaifa tunakuwa pamoja jaman... mbona mnataka beef mpaka kwenye mambo ya kitaifa. leo nmevaa nguo yenye njano kwa ajli ya kumuunga mkono bibie Bantu lady ni mapenzi nliyo nayo na wivu. sipendi yanga wafungwe na team nyingine mbali na simba. sipend na huwa najisikia uchungu sana. tushikamane ndugu zangu. Zamaulid, Young sharo, Watu8 , Makoye
 
Last edited by a moderator:
we Masuke unataka uungane na Bantu lady japo kwa mechi moja!!!sijui kama kaka yake Katavi analijua hili....

Ha ha hahahahaha, Kaka yake anajua maana sio mambo ya sirini haya, yako wazi kabisa ndo maana hata wewe umeona. Labda kama anataka nimwombe ruhusa kabisa lakini kwa kuungana na dada yake japo kwenye mechi inahitaji taarifa na taarifa ameipata.
 
Last edited by a moderator:
Hebu nikaribishe mimi nije kukupongeza kwa ushindi wa Yanga.

Sikukaribishi kabisa, umevunja makubaliano. Tena bora ungebaki kwa mikia wako, umekuwa upande wa wapinzani tunaocheza nao mechi.
Heee ndio maana hata sijakutakia Happy Valentine's...
 
Hongereni Yebo yebo lakini bado mna kibarua kigumu ugenini.

Ahsantee Kaka Katavi, leo Yanga imeamua kutupa gift ya Valentine's day.
Maana wangetuangusha sijui kama wengine hapa tungetoka.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hii game hata yanga washinde goli kumi, kwangu sitakuwa na furaha yoyote. Pesa za mlangoni ale manji mimi niishie kutega masikio kusikiliza redio??

Manji atawala sana mpaka mtakapojitambua. Halafu jinsi mnavyopelekeshwa na mhindi bado mmekaa kimya. Na kwa akili zenu zinazowatosha kuvuka barabara tu hamuwezi hata kumchallenge Manji, mtabwabwaja humu humu JF mkichoka mnalala. Na uchaguzi kapeleka mbele mpaka atakapotaka yeye, nyinyi kimyaaaaa.
Igeni mfano wa Simba japo aliwatukana mashabiki lakini Rage aling'oka.
 
Mkuu kama uongozi wa Yanga ungekuwa na dhamira ya watu wake kuona mpira wangetangaza hiyo tenda na lazima vituo vya TV vingejitokeza na lazima wangefikia tu makubaliano. Ni kawaida ya viongozi wetu kufanya maamuzi kwa faida yao wenyewe lakini wangejali pia na mashabiki wao wangeuza hizo TV rights kwa reasonable price lazima wangepata tu wa kununua na bado watu wengine wangeenda uwanjani. Hakuna faida yoyote wanayoipata Yanga kwa mechi kutoonyeshwa na sana sana inasababisha usumbufu tu kwa watu wanaopenda mpira. Mpira ni biashara ndio sasa si ndo kama hiyo ya kuuza haki ya matangazo ya TV, miaka nenda rudi gate collections zipo na zitaendelea kuwepo lakini uwepo wa TV nyingi ndo ungekuwa upanuzi wa hii biashara ya mpira na sio kukomaa na tu na viingilio.

Viongoz wa hiz timu zetu za Kulwa na Doto wanakera sana, wao wameweka mbele maslahi yao binafsi.
 
J
Mkuu kama uongozi wa Yanga ungekuwa na dhamira ya watu wake kuona mpira wangetangaza hiyo tenda na lazima vituo vya TV vingejitokeza na lazima wangefikia tu makubaliano. Ni kawaida ya viongozi wetu kufanya maamuzi kwa faida yao wenyewe lakini wangejali pia na mashabiki wao wangeuza hizo TV rights kwa reasonable price lazima wangepata tu wa kununua na bado watu wengine wangeenda uwanjani. Hakuna faida yoyote wanayoipata Yanga kwa mechi kutoonyeshwa na sana sana inasababisha usumbufu tu kwa watu wanaopenda mpira. Mpira ni biashara ndio sasa si ndo kama hiyo ya kuuza haki ya matangazo ya TV, miaka nenda rudi gate collections zipo na zitaendelea kuwepo lakini uwepo wa TV nyingi ndo ungekuwa upanuzi wa hii biashara ya mpira na sio kukomaa na tu na viingilio.

At lest umeongea point,lakini hiyo ya kutangaza tenda ya kuonesha mechi..mmmmh,kwani wenye tv wanasubiri tenda ya kuonesha mechik kwani umekuwa ujenzi wa barabara..?..ratiba wanaijua mapema na wanajua mechi itachezwa lini..na wanaosema yanga imegoma kuoneshwa mechi yao,yanga ilitangaza lini mgomo?
 
Ndo mana kila uchaguzi unamwagwa ww,akili zako mbovu,kama k ya bibi yako
 
Masuke hatujawah kukosena heshima mimi na wewe ndugu yangu. inakuaje mpaka tunaanza kuingiliana kwenye mambo ambayo huwa hayachangiwi? huu ukaribu wa kutaka @bantu lady akukaribishe unaanzia wapi? ndugu yangu masuke tuonane hivi hivi lakini tusifikie hatua ya kuanza mpaka kuwakaribia watu wa karibu ya watu wengine. huyu bantu lady sikukutana naye barabarani hivyo nawaomba ndugu zangu msimkaribie hata kujifanya kumpa maneno matamu n,k tafadhari. natoa hili kama onyo kwenu ndugu. @moderators hili mliwekee maanani. bantu lady ni mke wangu wandoa kabisa. yeye yanga mimi simba.
 
Mpira wa Kiutu Uzima upo kesho, leo wote wachovu tu. BDF yenyewe hata kwenye ramani ya soka la Afrika haisomeki, tuombe wapangwe na timu yenye kujua kabumbu tuone Yeboyebo wanavyopigwa 5 bila.

Na iwe hivyo Mkuu.
 
Back
Top Bottom