Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Aiseee mi pia sipendi kukaa roho juu namna ile bora kushinda in 90mns kuliko kuanza kujificha goli likifungwa ndio unaangalia replay hapana kwa kweli.

Mie mwenyewe siombei kesho tufike huko.
Tatizo hivi vitimu vidogo hua vinapania sana vikicheza na wakongwe. Vingekua vinacheza hivyo mechi zote vingekua mbali sana
 
Tangu kuumbwa kwa Dunia haijawahi kutokea hata kwa bahati mbaya Simba kusinzia Stand, ndo ije kuwa kufa? Si ndio Shadeeya au nasema uongo?

Simba nguvu moja
Hahahaaa. Umefanya nicheke.

Ulishaanza kuwa mahututi pale shukuru tu umepata nguvu ya kujiinua la sivyo ulikuwa unaenda mazima Mtani.

Ila leo umeteseka bana. 😅😅😅 Yaani ulikuwa mdogo mbaya.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai

Simba SC, imeitandika Stand Utd kwa mabao 3-2 kwa mikwaju ya penati kufuatia kumaliza dakika 90 kwa kufungana 1-1, kwa matokeo haya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya ASFC.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwama
FB_IMG_1582645039442.jpeg
 
Back
Top Bottom