Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kumbe na wewe muoga eee? 😅😅Woyoooooooo
Weraweraaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kumbe na wewe muoga eee? 😅😅Woyoooooooo
Weraweraaaaaa
🙏🙏
Yaani niliona kabisa shilingi inazama leo.Wstoto
Hawa watoto wakata tiketi wamejua kutuweka roho juu Wallah🤣🤣🤣
Saa zingine watoto hawa wanaweza wakakukosea adabu ukalala mapemaa🤣🤣🤣Hahahaaa. Kumbe na wewe muoga eee? 😅😅
Aiseee mi pia sipendi kukaa roho juu namna ile bora kushinda in 90mns kuliko kuanza kujificha mpaka goli likifungwa ndio unaangalia replay hapana kwa kweli.Saa zingine watoto hawa wanaweza wakakukosea adabu ukalala mapemaa🤣🤣🤣
Kwani uongo Mkuu?
Tatizo hivi vitimu vidogo hua vinapania sana vikicheza na wakongwe. Vingekua vinacheza hivyo mechi zote vingekua mbali sanaAiseee mi pia sipendi kukaa roho juu namna ile bora kushinda in 90mns kuliko kuanza kujificha goli likifungwa ndio unaangalia replay hapana kwa kweli.
Mie mwenyewe siombei kesho tufike huko.
Hahahaaa. Umefanya nicheke.Tangu kuumbwa kwa Dunia haijawahi kutokea hata kwa bahati mbaya Simba kusinzia Stand, ndo ije kuwa kufa? Si ndio Shadeeya au nasema uongo?
Simba nguvu moja
Yaani ligi ya Tanzania ingekuwa bora hasa. Cha ajabu huyu aliyekaza leo kesho akicheza na mdogo mwenzie anakula tatu.Tatizo hivi vitimu vidogo hua vinapania sana vikicheza na wakongwe. Vingekua vinacheza hivyo mechi zote vingekua mbali sana
Yenu macho huku kimoyo moyo mnatuombea mabaya. Lol.Yetu macho
Yaani panapomajaaliwa naangalia kuanzia dakila ya kwanza hadi mwisho nione kama mafunzo ya Luc mmeyashikaYaani ligi ya Tanzania ingekuwa bora hasa. Cha ajabu huyu aliyekaza leo kesho akicheza na mdogo mwenzie anakula tatu.
Karibu kesho tunakipiga na Gwambina.
Msije mkasema tumetembeza muamala tu😀😀😀Yenu macho huku kimoyo moyo mnatuombea mabaya. Lol.
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai
Karibu sana. Naamini sare zile za Ligi kuu zimetosha tunatunza nguo mpaka tarehe 08 tuoe.Teh teh.Yaani panapomajaaliwa naangalia kuanzia dakila ya kwanza hadi mwisho nione kama mafunzo ya Luc mmeyashika
Nimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.M
Msije mkasema tumetembeza muamala tu😀😀😀
Hongera Mtani. Mana leo bado kidogo udhalilike.Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai
Simba SC, imeitandika Stand Utd kwa mabao 3-2 kwa mikwaju ya penati kufuatia kumaliza dakika 90 kwa kufungana 1-1, kwa matokeo haya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya ASFC.
Kulitaka Mwana Kulipewa MwamaView attachment 1369040
Msije mkaolewa tu na sare zenu hiyo tarehe nane,🤪Karibu sana. Naamini sare zile za Ligi kuu zimetosha tunatunza nguo mpaka tarehe 08 tuoe.Teh teh.
Kesho kwenye Kombe la Azam ni ushindi tu.