wamekung'utwaYanga bado wa kimataifa sana tu na itaendelea kuwa
Ni aibu mkuu, almost muda wote wanaoanguka ni wachezaji wa Yanga tu. Timu pinzani ni nadra sana kuona wamezidiwa nguvu (kuanguka au kuumia). Na hali hii sio kwa Yanga pekee bali ni timu zote za TZ including Taifa Stars. Sijui tumekosea wapi. I think ni mazoezi na diet hafifu pamoja na kulewa sifa.wachezji wawili wa yANGA wapo chini kwa maumivu, dk 77
Medeama wameniudhi sana... yani mpaka sasa vigoli vitatu tu??Pamoja na Yanga tumezidiwa leo, ila watu mna wivu na Yanga duh!!! Punguzeni chuki na Yanga, nanyi mkacheze mlete hilo kombe tuone.
Hata mashoga kimuonekano ni wanaume shida inakuja ktk uhalisia.wanaume wanapo cheza mnatakiwa mtulie. huna haki ya kuongea chochote
Teeh teh oscar joshua eti na yeye anaanza mtu hata kutuliza mpira hajui[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] aaah sie wa mchangani tumeshinda zetu 6 hatuna tabu.mmeanza zengweee
Hahahahaaaa hujatulia babu ujue, sawa bwana. Mzima lakini Asprin eti paka oops!!! simba anagombea kombe gani? Ndondo Cup ama hahahaaaMedeama wameniudhi sana... yani mpaka sasa vigoli vitatu tu??
mshindie wapi labda au unaota ndugu??yanga tukishinda mechi inayofuata tutasonga mbele kwa mbele....hakuna wa kutuzuia.
Ukocha umeanza lini mkuu, shule inakushinda kupata 3.5 ya kwenda chuo haya utayaweza?Chuki kivipi ndg hii team kocha anakosea kuipanga mtu kama MAHADHi alicheza vizuri sana mechi ya mazembe iweje asipangwe game ya mediama iliyochezwa dar akaingizwa dk zikiwa zimebaki chache leo pia kaanzia sub....