Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Hivi vijamaaa hivi visha niaribia siku hivi, kulala saa moja kasorobo siyo mchezo!
 
....kocha wa Yanga anawajulia ndanda tu, huko nje, ni full kutulizwa!!
 
Kila baada ya kd 15 majamaa yanaloweka.. 😀 😀
Madeama nko nyuma yenu, naomba msiniangushe.
Piga hao anagalau magoli sita, ili wakirudi wapokelewe uwanja wa taifa kwa mbebwe na kesho waandikwe kwenye magazeti kwa sifa kubwa
 
Naomba matokeo yawe zaidi ya haya ili tueleweke tunaposema TFF mnaua mpira watu waelewe.Dhahiri Yanga hakuwa bingwa.
 
Back
Top Bottom